Simba SC haifiki Robo Fainali na leo inafungwa goli 2

Baada ya kupata point sita kwa vibonde viper mashabiki wanaamini leo watafanya vizuri.
Simba leo anafungwa na wakijitahidi Sana ni sare, matumaini ya kwenda robo fainal yanaishia hapa

Tukutane saa 3 baada ya mechi
Simba kwa mkapa anawezekana
Nitafurahi sana
 
Ila watu jaman khaaaaaaah, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nitarudi baadae.
 
Mkuu liombee Taifa....ili tupande kwenye Chat za CAF - usijali sana maslahi binafsi ya timu zetu za Bongo....Just waombee Simba kushinda kwa ajili ya Tanzania kupanda kwenye chat za CAF... Hayo mengine achana nayo...angalau wakatolewe robo fainali.....
Of course. Umeongea vema. Siwapendi kolo wizard hawa ila nawaombea leo washinde wasonge mbele. Hata wakibeba ubingwa fresh tu maana najua humu ndani hawana cha. Mwananchi anabeba vikombe vyote.
 
Baada ya kupata point sita kwa vibonde viper mashabiki wanaamini leo watafanya vizuri.
Simba leo anafungwa na wakijitahidi Sana ni sare, matumaini ya kwenda robo fainal yanaishia hapa

Tukutane saa 3 baada ya mechi
Simba kwa mkapa anawezekana

Kwa sasa Tunaangalia sana taifa na East Africa kwa ujumla.
 
Baada ya kupata point sita kwa vibonde viper mashabiki wanaamini leo watafanya vizuri.
Simba leo anafungwa na wakijitahidi Sana ni sare, matumaini ya kwenda robo fainal yanaishia hapa

Tukutane saa 3 baada ya mechi
Simba kwa mkapa anawezekana
Huna tofauti na mchawi

Simba 🦁 guvu moya
🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
 
Baada ya kupata point sita kwa vibonde viper mashabiki wanaamini leo watafanya vizuri.
Simba leo anafungwa na wakijitahidi Sana ni sare, matumaini ya kwenda robo fainal yanaishia hapa

Tukutane saa 3 baada ya mechi
Simba kwa mkapa anawezekana
Hapo ulipo umejaza kinyesi kwenye chupi yako

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
 
Baada ya kupata point sita kwa vibonde viper mashabiki wanaamini leo watafanya vizuri.
Simba leo anafungwa na wakijitahidi Sana ni sare, matumaini ya kwenda robo fainal yanaishia hapa

Tukutane saa 3 baada ya mechi
Simba kwa mkapa anawezekana
Kubwa jingaaaaa
 
Back
Top Bottom