Mtanzanias
JF-Expert Member
- Jul 30, 2021
- 1,747
- 3,725
Inaongelewa ligi mbona una kichwa kigumu au unavuta?Kimataifa Simba imetoa goli bora
Hiyo record mbona hampendi kuizungumzia?
Alijua unaongelea kwenye Africa ndondo cup wanakoshirikiInaongelewa ligi mbona una kichwa kigumu au unavuta?
Mbona unakuwa mkali inapoongelewa michuano ya kimataifa? 🤣🤣🤣Inaongelewa ligi mbona una kichwa kigumu au unavuta?
Kashone bukta la kanuti kwanza sheenzyMbona unakuwa mkali inapoongelewa michuano ya kimataifa?
So ligi kuu ya NBC hamshirikiKimataifa Simba imetoa goli bora
Hiyo record mbona hampendi kuizungumzia?
mechi moja au mbili kwa mwezi, zinazofuata ni za kimataifa, si rahisi kutoa nyota wa mwezi. Ngoja tufanye majukumu ya kimataifa, yana mpunga mwingi kuliko mchezaji bora wa mweziSo ligi kuu ya NBC hamshiriki
Inaongelewa ligi mbona una kichwa kigumu au unavuta?
Kati ya ligi kuu NBC na CAF Total energies ni ipi meza yenye bia nyingi?So ligi kuu ya NBC hamshiriki
Soma kichwa cha uziKati ya ligi kuu NBC na CAF Total energies ni ipi meza yenye bia nyingi?
Ume elewa swali langu?Kati ya ligi kuu NBC na CAF Total energies ni ipi meza yenye bia nyingi?
Last season hamkushiriki CAF? mliwezajemechi moja au mbili kwa mwezi, zinazofuata ni za kimataifa, si rahisi kutoa nyota wa mwezi. Ngoja tufanye majukumu ya kimataifa, yana mpunga mwingi kuliko mchezaji bora wa mwezi
Tutaona huko kimataifa mtaenda kwa tiketi gani safari hiiKati ya ligi kuu NBC na CAF Total energies ni ipi meza yenye bia nyingi?
Tutaenda kwa mgongo wa mabingwa watetezi wa ccc.... maana ndo kombe tunalotarajia kubeba mwaka huu..Tutaona huko kimataifa mtaenda kwa tiketi gani safari hii
ndondo cup ambayo mlipigwa nje ndani bila majibuAlijua unaongelea kwenye Africa ndondo cup wanakoshiriki