Simba SC haijatoa mchezaji bora wa ligi tokea msimu uanze mpaka sasa

Simba SC haijatoa mchezaji bora wa ligi tokea msimu uanze mpaka sasa

Mtanzanias

JF-Expert Member
Joined
Jul 30, 2021
Posts
1,747
Reaction score
3,725
Hiki ni kiashiria kingine kuwa safari hii mambo ni mazito na kuna mambo ya kiufundi hayako sawa kwenye kikosi kizima cha Simba, mpira siku zote ni takwimu na timu bora utaipima kwa takwimu uwanjani.
 
sioni balance ya hizi tuzo kabisa...na main reason ni ratiba yetu ilivyokaa...
 
Utopolo bwana,haya nyie mkitoa hao wachezaji bora inatosha mkuu
 
Alijua unaongelea kwenye Africa ndondo cup wanakoshiriki
ndondo cup ambayo mlipigwa nje ndani bila majibu

na kelele juu hatuchezi hatuchezi uto bna
 
Back
Top Bottom