Simba SC haishindi kwa Ubora wa Kocha wa muda Mgunda

GENTAMYCINE / Popoma / Genius / Jasusi / Product ya SAUT, mimi chawa wako nasema kuwa huu uzi utakuwa wakweli, ila Yanga Bingwa na bado tuna misimu 7 mbele. Miaka 10 mfululizo tunachukua.
 
Kaka Genta unaonekana una kitu Fulani au talent ya uongozi mm nakuomba uchaguzi ujao gombea uongozi kaka tafadhali kaka
Huyu alishashiriki ufedhuli na amekiri mwenyewe unadhani atafanya nini cha zaidi yeye aongee tu huko nje
 
Nina uhakika wana Simba SC wengi wasio na Akili kwa huu Ukweli wako Mchungu na Tukuka hapa kamwe hawatokuelewa.
 
Sc hakuna uongozi,,,hata dangote aichukue timu bado mambo yale yale,,,,,

Viondoeni hivyo vizee, wekeni vijana wenye njaa ya mafanikio, walete vision mpya,,, pia timu iendeshwe kisasa
Vizee vimekaa pale kikao kizima kizima kimesinzia tu kinaota urojo na ugoro. Yan kimedoro mchana kweupe hakina hoja wala neno kinasubri posho tu
 
GENTAMYCINE / Popoma / Genius / Jasusi / Product ya SAUT, mimi chawa wako nasema kuwa huu uzi utakuwa wakweli, ila Yanga Bingwa na bado tuna misimu 7 mbele. Miaka 10 mfululizo tunachukua.
Ongezea pia Mtanzania aliye VVIP katika Taifa jirani na sasa amepewa Jukumu ambalo anaenda Kuiheshimisha Tanzania.
 
Hahahahaha ukimfatisha ana ukifatisha hizi nyuzi za vigeu geu ,mbumbumbu wa humu ...utawadhaarau sana tena sana...wengi waanzisha wa humu hasa wa timu hy wana mtindio wa ubongo nadhani...hawajui jana aliandika nn na leo ameandika nn..
 
Mina kula facts,kanusha hilo juu kama sio andiko lako.Kuwa na msimamo mtoto wa kiume.
Wamenishindwa Manguli hapa tokea mwaka 2013 leo hii Wewe Mpuuzi mmoja ndiyo uniweze? Mimi ndiyo GENTAMYCINE sawa?
 
Wamenishindwa Manguli hapa tokea mwaka 2013 leo hii Wewe Mpuuzi mmoja ndiyo uniweze? Mimi ndiyo GENTAMYCINE sawa?
Get busy young boy,Mimi huwa sinshindani na vitu visivyo na faida.kushindana wewe nikupeteza muda wangu buree.

Huwa nakugonga maramoja moja nikukukuta umepost ujinga.
 
Get busy young boy,Mimi huwa sinshindani na vitu visivyo na faida.kushindana wewe nikupeteza muda wangu buree.

Huwa nakugonga maramoja moja nikukukuta umepost ujinga.
Hata Wewe kitendo cha Kugongwagongwa sidhani kama ungeichungulia hii dunia leo.
 
We fala huoni sasa hivi Simba inavocheza jihadi ?? eti unadai viongozi wanafanya mipango huo ni uongo wa dhahiri.Nenda kaangalie mechi za simba sasa hivi mwenyewe utapenda na Mgunda anachofanya pamoja na mbinu lakini pia anawa motivate wacheze mpira bila kumsahau matola nae anachagiza.Wana piga sana kelele uwanjani kuwahamasisha wachezaji kitu ambacho Benchika hakuwa akifanya
 
Duh
Soka la bongo noma Sana ujanja ujanja mwingi kweli .....
 
Unaongea vitu illogical kabisa.
Sasa huko kufanya vyema walikofanya Yanga mwaka jana na mwaka huu mashindani ya afrika walimhonga nani ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…