Simba SC hata wakipewa miaka kumi ya kujiandaa Kama walivyoiomba Bodi ya ligi ni ngumu kuifunga Al Ahly

Sio lazima kuwa unaandika andika. Sometimes unatulia, unajisomea.

Simba inakunyima raha kiasi hiki. Michuano ya mbuzi?! Infantino ndani, wakali kama Wenger ndani.🤣🤣
 
Ngoja wapigwe kwanza nje ndani na hao Al Ahly! Na kwenye makundi nako washike mkia, ili zile kelele zao za kumkataa Robertinho zianze upya.
Robertinho ni strategist alieiva, labda walaumiwe wachezaji.

Simba pale ndani ina watu wana akili timamu na utaalamu wa mpira.

Robertinho ndiyo suluhisho kwa Simba ya sasa, anafundisha mpira mkubwa sana bado wachezaji hawajauweza.

Gamondi namhurumia, atafukuzwa akizubaa. Mpira anaoutaka kuudhibiti ukiwa na wachezaji wanaoskiliza maelekezo vizuri ni rahisi.
Reference:Alichofanya Namungo ukapata goli la jioni ndicho alichofanya Ihefu,lakini akajitahidi kukupunguzia nafasi za kutengeneza magoli kirahisi.

Na ratiba ya Yanga imekaa vibaya kama ya Simba mwaka jana. Unaanzia ugenini na Medeama, next mechi unakutana na giant wa kundi Al Ahly🤣🤣🤣. Unajikuta mechi mbili una point 0 au 1.
 
Sio lazima kuwa unaandika andika. Sometimes unatulia, unajisomea.

Simba inakunyima raha kiasi hiki. Michuano ya mbuzi?! Infantino ndani, wakali kama Wenger ndani.[emoji1787][emoji1787]
KWA HIYO HUTAKI TUTOE MAONI KUHUSU SIMBA YENU MBOVU.
 
Hakika MACHOKO hamtaisha Nchi hii
 
Reactions: Tui
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…