Simba SC hatujamaliza, tunashusha mchana vyavu usiku huu

Simba SC hatujamaliza, tunashusha mchana vyavu usiku huu

OKW BOBAN SUNZU

Platinum Member
Joined
Aug 24, 2011
Posts
53,868
Reaction score
121,001
680c79ed29e94382ad3a08ecb6233ef5_325221705_5903356423063321_6363132366306287302_n.jpg
 
Sema haya mambo ya kuigaiga yakomeshwe mara moja hapo msimbazi, sisi ndyo wa kutukeshesha kama Popo mida ya uto kweli?
Hapa jamaa wametukosea sana.
 
Tetesi ni kwamba atakaetambulishwa ni Jean Makusu striker hatari wa As Vita zamani
 
Mohammed Mussa - Malindi, Zanzibar
Jean-Marc Makusu - DCMP
Jean Baleke Othos - TP Mazembe

mmojawapo hapo
 
Makusu hatulii na kudumu katika klabu moja, kama hatakuwa yeye nitafurahi
 
Mohammed Mussa - Malindi, Zanzibar
Jean-Marc Makusu - DCMP
Jean Baleke Othos - TP Mazembe

mmojawapo hapo
Baleke akili yangu inanitumahivyo ila mahalinimegusiwa ni musa hapa simba wametukosea
 
Baleke akili yangu inanitumahivyo ila mahalinimegusiwa ni musa hapa simba wametukosea
Watu wana shauku na mchezaji wa kigeni. Ikitokea kuwa ni huyo Musa hali itachafuka mtandaoni kwa maneno ya hasira maana mashabiki wa Simba watakuwa wamekwazika mno
 
Watu wana shauku na mchezaji wa kigeni. Ikitokea kuwa ni huyo Musa hali itachafuka mtandaoni kwa maneno ya hasira maana mashabiki wa Simba watakuwa wamekwazika mno
Uko sahihi kabsa ila ngoja tuone
 
Back
Top Bottom