Simba SC hatujamaliza, tunashusha mchana vyavu usiku huu

Simba SC hatujamaliza, tunashusha mchana vyavu usiku huu

FB_IMG_16738234314955158.jpg

Kama wachezaji ndio hawa tutawachapa sana ngada nyie😅😅
 
Kila mtu na level zake.Uto endeleeni kuiota Simba, hicho ndicho kipimo chenu cha juu kabisa cha mafanikio mnayoyatamani kwa miaka mingi.
Hebu tupe mafanikio ya Simba ya hivi karibuni....
 
Kila mtu na level zake.Uto endeleeni kuiota Simba, hicho ndicho kipimo chenu cha juu kabisa cha mafanikio mnayoyatamani kwa miaka mingi.
Mafanikio huanzia nyumbani kutoka nje... Level ya simba ni ipi timu isiyo na uwezo kusajili mchezaji hata 300m ina ukubwa gani😅. Mnaokota magarasa yanatolewa kwa mkopo.
 
Simba inawawazia CSKA Moscow, Yanga inawawazia Simba 😆
Ujinga mwingine bana... Hiyo CSKA moscow imechezesha wachezaji wapi 😅...... Imekosa timu za ulaya ikaamua kuja kutaliii Dubai.
 
Ujinga mwingine bana... Hiyo CSKA moscow imechezesha wachezaji wapi 😅...... Imekosa timu za ulaya ikaamua kuja kutaliii Dubai.
Kwani hujui CSKA yenyewe ni ya Ulaya? Au huelewi maana ya UEFA?
 
Back
Top Bottom