Kwenye mpira hakuna usengelema Kama huu
Mimi Yanga niitaenda na ole wake nguchiro yeyote wa Simba anizuie lazima nizae nae
Jezi ndio zitaleta utofautiNini kitaleta tofauti pale getini kwamba huyu Simba na huyu yanga.mbona mnahangaika
Buddy wewe ni fan wa football kweli au umezamia tu huku?Mpira wa bongo bana, tangu lini mtu ana chaguliwa team ya kushangilia?
Msimu wa klabu bingwa ukifika yanga wanakua malaya, kila timu ikija bongo wanaishangilia.Buddy wewe ni fan wa football kweli au umezamia tu huku?
Pira la mguu ni hisia zilizojaa mapenzi, huwezi kuwa unashangilia kila timu haiwezekani hata siku moja.
Jezi uliyovaa au rangiNini kitaleta tofauti pale getini kwamba huyu Simba na huyu yanga.mbona mnahangaika
Ni kweli kabisa hii kauli unachochea uhasama.Hii kauli inachochea uhasama
Utapigwa mzee si unakaidiKwenye mpira hakuna usengelema Kama huu
Mimi Yanga niitaenda na ole wake nguchiro yeyote wa Simba anizuie lazima nizae nae
Kudhihilisha umalaya wao jezi zao wameweka ramani ya afrika ili wawe wanahamahama nchiMsimu wa klabu bingwa ukifika yanga wanakua malaya, kila timu ikija bongo wanaishangilia.
We Unajua ni nani aliyeanza kusema kwamba 'msije kwenye mechi isiyowahusu' kama siyo Yanga? Wameenda mbali hadi wanawapiga mashabiki wa Simba wanaoenda kushabikia timu yoyote ya ligi kuu inayocheza dhidi ya Yanga. Upuuzi gani huu!Hakili za simba na wana simba ni balaa tu.
Wale wanaopiga mashabiki wa Simba wakienda kwenye game za Yanga hujawaona eeeh?Hii kauli inachochea uhasama
Uko sahihi. Sasa kwanini nyie mmekuwa mnawafanyia vurugu mashabiki wa Simba wakija kwenye game zenu za VPL?Na Mimi pia nitaenda, na tumepanga kwenda kikundi tuone hao Mnyero fc watatufanya nini. Hii nchi ni nchi huru, kila mtu Ana Uhuru wa kufanya atakalo ili mradi havinji Sheria yoyote.
Mbona nyinyi mmekuwa mnawafanyia fujo mashabiki wa Simba kwenye game zenu za VPL? Kuanzia sasa kila mtu ahudhurie mechi za timu yake tu.Mpira wa bongo bana, tangu lini mtu ana chaguliwa team ya kushangilia?
Kama wao walivyo chagua kuzia sisi mashabiki wa Simba sc kuangalia mechi live, basi na sisi Simba sc mabingwa wa ligi kuu tumechagua kuwazuia mashabiki wao hao plateau united!!!.Sasa Hawa platue wanakuja Tanzania lakini wanao ndugu huku ila na wao wasiingie kuona ndugu zao