Ngoja tungoje kauli ya TFF na FIFANi kweli kabisa hii kauli unachochea uhasama.
Yaani walivyosema kuwa watauza tiketi kupitia mfumo wa kadi ilikuwa inatosha.
Lakini hii ya kusema wazi kuwa hawataki mashabiki wa Yamnga waingie uwanjani ni ubaguzi wa wazi.
Kama Tunisia ilivokuja bongo tu ilipata mashabiki tena Watanzania waliimba hadi wimbo wa taifa wa Tunisia. Kaeni mkijua Plateau united lazma ipate mashabiki. Nyie simba acheni ungengemkeniKlabu ya Soka ya Simba imesema haitaruhusu Shabiki wa Klabu ya Yanga kuingia katika mchezo wao wa mkondo wa pili wa Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Plateau United mchezo utakaopigwa katika dimba la Benjamin Mkapa jijini Dar es Salaam.
Akizungumza na Waandishi wa Habari jijini Dar es Salaam, Mkuu wa Kitengo cha Habari na Mawasiliano wa Klabu hiyo, Haji Manara amesema watazuia kuingia shabiki wa timu hiyo kutokana na mechi hiyo ni ya kwao.
βMechi hii ni ya kwetu sio ya hisani, kama unataka kuzomea tulia nyumbani au ishia pale Mianzini au Kekoβ, amesema Manara.
Manara amesema endapo mashabiki hao wataingia katika uwanja huo, amewaasa mashabiki wa Simba SC wasiwafanyie vurugu na kuwapiga, amewaomba Mashabiki wa Simba kujitokeza kwa wingi katika mchezo huo ili kuishangalia timu hiyo.
βPlateau United sio timu ya kubeza, tunataka tucheze Soka tuwaburudisha Wana Simba na kuwafunga katika Uwanja wa Benjamin Mkapa, tutumie vizuri nafasi ya CAF kuruhusu Mashabiki Elfu 30 kuingia Uwanjaniβ, ameeleza Manara.
Simba SC itarudiana na Plateau United Desemba 5, 2020 katika Uwanja wa Mkapa jijini Dar es Salaam baada ya mchezo wa mkondo wa kwanza uliopigwa mjini Jos nchini Nigeria kuondoka na ushindi wa bao 1-0.
Kama Tunisia ilipata mashabiki tena watanzania waliimba ad wimbo wa taifa wa tunisia kaeni mkijua kua plateau united watakau na mashabiki wa kutosha na hakuna kitu mtafanyaππ. Acheni ungengemkeniKlabu ya Soka ya Simba imesema haitaruhusu Shabiki wa Klabu ya Yanga kuingia katika mchezo wao wa mkondo wa pili wa Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Plateau United mchezo utakaopigwa katika dimba la Benjamin Mkapa jijini Dar es Salaam.
Akizungumza na Waandishi wa Habari jijini Dar es Salaam, Mkuu wa Kitengo cha Habari na Mawasiliano wa Klabu hiyo, Haji Manara amesema watazuia kuingia shabiki wa timu hiyo kutokana na mechi hiyo ni ya kwao.
βMechi hii ni ya kwetu sio ya hisani, kama unataka kuzomea tulia nyumbani au ishia pale Mianzini au Kekoβ, amesema Manara.
Manara amesema endapo mashabiki hao wataingia katika uwanja huo, amewaasa mashabiki wa Simba SC wasiwafanyie vurugu na kuwapiga, amewaomba Mashabiki wa Simba kujitokeza kwa wingi katika mchezo huo ili kuishangalia timu hiyo.
βPlateau United sio timu ya kubeza, tunataka tucheze Soka tuwaburudisha Wana Simba na kuwafunga katika Uwanja wa Benjamin Mkapa, tutumie vizuri nafasi ya CAF kuruhusu Mashabiki Elfu 30 kuingia Uwanjaniβ, ameeleza Manara.
Simba SC itarudiana na Plateau United Desemba 5, 2020 katika Uwanja wa Mkapa jijini Dar es Salaam baada ya mchezo wa mkondo wa kwanza uliopigwa mjini Jos nchini Nigeria kuondoka na ushindi wa bao 1-0.
Nakumbuka mechi ya Yanga na Mazembe ambayo Manji alilipia uwanja mzima mashabiki wa Yanga waingie bure.Mashabiki wa Simba nao walijazana kibao na kushangilia wakaishangilia Mazembe.Hii hali wasiikasirikie kwani wameianzisha wenyewe wawe wapole.Klabu ya Soka ya Simba imesema haitaruhusu Shabiki wa Klabu ya Yanga kuingia katika mchezo wao wa mkondo wa pili wa Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Plateau United mchezo utakaopigwa katika dimba la Benjamin Mkapa jijini Dar es Salaam.
Akizungumza na Waandishi wa Habari jijini Dar es Salaam, Mkuu wa Kitengo cha Habari na Mawasiliano wa Klabu hiyo, Haji Manara amesema watazuia kuingia shabiki wa timu hiyo kutokana na mechi hiyo ni ya kwao.
βMechi hii ni ya kwetu sio ya hisani, kama unataka kuzomea tulia nyumbani au ishia pale Mianzini au Kekoβ, amesema Manara.
Manara amesema endapo mashabiki hao wataingia katika uwanja huo, amewaasa mashabiki wa Simba SC wasiwafanyie vurugu na kuwapiga, amewaomba Mashabiki wa Simba kujitokeza kwa wingi katika mchezo huo ili kuishangalia timu hiyo.
βPlateau United sio timu ya kubeza, tunataka tucheze Soka tuwaburudisha Wana Simba na kuwafunga katika Uwanja wa Benjamin Mkapa, tutumie vizuri nafasi ya CAF kuruhusu Mashabiki Elfu 30 kuingia Uwanjaniβ, ameeleza Manara.
Simba SC itarudiana na Plateau United Desemba 5, 2020 katika Uwanja wa Mkapa jijini Dar es Salaam baada ya mchezo wa mkondo wa kwanza uliopigwa mjini Jos nchini Nigeria kuondoka na ushindi wa bao 1-0.
Hakili za simba na wana simba ni balaa tu.
Una mhemko wa kike hakuna football ya hivyo dunianiSasa kama ni mechi ya CAF kwa nn plateau walizuia kurusha live mechi ya kwanza ingali so Mali yao?!... Simba wanayo haki ya kuamua nan wakumuuzia tiketi kama ambavyo plateau walivyo kuwa na haki ya either kuruhu kuonesha ama kutoionesha live mechi ya kwanza!!
UTOPOLO TULIENI DAWA ISAMBAE VIZURI!!!
Sawa dada, kama unataka kuzaa na mwana simba usivae chupi tu siku hiyo.Kwenye mpira hakuna usengelema Kama huu
Mimi Yanga niitaenda na ole wake nguchiro yeyote wa Simba anizuie lazima nizae nae
Kumbe nchi hii bado kuna washamba wa ushabiki.Huwa nasikia kinyaa nikiona zile picha yamejikusanya pale airport kupokea wachezaji
Tangu senzo anyee debe timu zinashinda kihalaliBro, hawajamaa ni washamba sana.
Ukitaka kujua niwashamba ni walichofanya kwa Senzo.ule ni ushamba wakiwango cha juu.
Wameshaitwa mikia kwa hiyo akili zao bado ziko mikiani. Usiwalaumu ndio nature yao hao mikia au mbumbumbuMpira wa bongo bana, tangu lini mtu ana chaguliwa team ya kushangilia?
Kama ambavyo nyinyi mlikuaga kwa TP Mazembe, Al Ahly n.kπMsimu wa klabu bingwa ukifika yanga wanakua malaya, kila timu ikija bongo wanaishangilia.
Kinachoshangaza wamekaa kimya kama hawajaliona vile.shida hii inakuja endapo mtu anajiona yeye ni mkubwa kuliko taasisi,karopoka wamemkataa kisha watachukua hatua gani.Tusubiri na kuona.Leo Simba mmetoa tamko rasmi kumkataa msemaji wenu
πππ
Ungekuwa Mwanaume usingelitetea hoja kwa maneno hayo!!.. πUna mhemko wa kike hakuna football ya hivyo dunian