Simba Sc: Hatutaruhusu shabiki wa Yanga Sc kuingia uwanjani kushabikia wageni

Ni kweli kabisa hii kauli unachochea uhasama.

Yaani walivyosema kuwa watauza tiketi kupitia mfumo wa kadi ilikuwa inatosha.

Lakini hii ya kusema wazi kuwa hawataki mashabiki wa Yamnga waingie uwanjani ni ubaguzi wa wazi.
Ngoja tungoje kauli ya TFF na FIFA
 
Klabu ya Soka ya Simba imesema haitaruhusu Shabiki wa Klabu ya Yanga kuingia katika mchezo wao wa mkondo wa pili wa Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Plateau United mchezo utakaopigwa katika dimba la Benjamin Mkapa jijini Dar es Salaam.

Akizungumza na Waandishi wa Habari jijini Dar es Salaam, Mkuu wa Kitengo cha Habari na Mawasiliano wa Klabu hiyo, Haji Manara amesema watazuia kuingia shabiki wa timu hiyo kutokana na mechi hiyo ni ya kwao.

“Mechi hii ni ya kwetu sio ya hisani, kama unataka kuzomea tulia nyumbani au ishia pale Mianzini au Keko”, amesema Manara.

Manara amesema endapo mashabiki hao wataingia katika uwanja huo, amewaasa mashabiki wa Simba SC wasiwafanyie vurugu na kuwapiga, amewaomba Mashabiki wa Simba kujitokeza kwa wingi katika mchezo huo ili kuishangalia timu hiyo.

“Plateau United sio timu ya kubeza, tunataka tucheze Soka tuwaburudisha Wana Simba na kuwafunga katika Uwanja wa Benjamin Mkapa, tutumie vizuri nafasi ya CAF kuruhusu Mashabiki Elfu 30 kuingia Uwanjani”, ameeleza Manara.

Simba SC itarudiana na Plateau United Desemba 5, 2020 katika Uwanja wa Mkapa jijini Dar es Salaam baada ya mchezo wa mkondo wa kwanza uliopigwa mjini Jos nchini Nigeria kuondoka na ushindi wa bao 1-0.
Kama Tunisia ilivokuja bongo tu ilipata mashabiki tena Watanzania waliimba hadi wimbo wa taifa wa Tunisia. Kaeni mkijua Plateau united lazma ipate mashabiki. Nyie simba acheni ungengemkeni
Hii ndio bongo mpira ni mchezo wa fitna hakuna fair
Klabu ya Soka ya Simba imesema haitaruhusu Shabiki wa Klabu ya Yanga kuingia katika mchezo wao wa mkondo wa pili wa Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Plateau United mchezo utakaopigwa katika dimba la Benjamin Mkapa jijini Dar es Salaam.

Akizungumza na Waandishi wa Habari jijini Dar es Salaam, Mkuu wa Kitengo cha Habari na Mawasiliano wa Klabu hiyo, Haji Manara amesema watazuia kuingia shabiki wa timu hiyo kutokana na mechi hiyo ni ya kwao.

“Mechi hii ni ya kwetu sio ya hisani, kama unataka kuzomea tulia nyumbani au ishia pale Mianzini au Keko”, amesema Manara.

Manara amesema endapo mashabiki hao wataingia katika uwanja huo, amewaasa mashabiki wa Simba SC wasiwafanyie vurugu na kuwapiga, amewaomba Mashabiki wa Simba kujitokeza kwa wingi katika mchezo huo ili kuishangalia timu hiyo.

“Plateau United sio timu ya kubeza, tunataka tucheze Soka tuwaburudisha Wana Simba na kuwafunga katika Uwanja wa Benjamin Mkapa, tutumie vizuri nafasi ya CAF kuruhusu Mashabiki Elfu 30 kuingia Uwanjani”, ameeleza Manara.

Simba SC itarudiana na Plateau United Desemba 5, 2020 katika Uwanja wa Mkapa jijini Dar es Salaam baada ya mchezo wa mkondo wa kwanza uliopigwa mjini Jos nchini Nigeria kuondoka na ushindi wa bao 1-0.
Kama Tunisia ilipata mashabiki tena watanzania waliimba ad wimbo wa taifa wa tunisia kaeni mkijua kua plateau united watakau na mashabiki wa kutosha na hakuna kitu mtafanya😀😀. Acheni ungengemkeni
 
Klabu ya Soka ya Simba imesema haitaruhusu Shabiki wa Klabu ya Yanga kuingia katika mchezo wao wa mkondo wa pili wa Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Plateau United mchezo utakaopigwa katika dimba la Benjamin Mkapa jijini Dar es Salaam.

Akizungumza na Waandishi wa Habari jijini Dar es Salaam, Mkuu wa Kitengo cha Habari na Mawasiliano wa Klabu hiyo, Haji Manara amesema watazuia kuingia shabiki wa timu hiyo kutokana na mechi hiyo ni ya kwao.

“Mechi hii ni ya kwetu sio ya hisani, kama unataka kuzomea tulia nyumbani au ishia pale Mianzini au Keko”, amesema Manara.

Manara amesema endapo mashabiki hao wataingia katika uwanja huo, amewaasa mashabiki wa Simba SC wasiwafanyie vurugu na kuwapiga, amewaomba Mashabiki wa Simba kujitokeza kwa wingi katika mchezo huo ili kuishangalia timu hiyo.

“Plateau United sio timu ya kubeza, tunataka tucheze Soka tuwaburudisha Wana Simba na kuwafunga katika Uwanja wa Benjamin Mkapa, tutumie vizuri nafasi ya CAF kuruhusu Mashabiki Elfu 30 kuingia Uwanjani”, ameeleza Manara.

Simba SC itarudiana na Plateau United Desemba 5, 2020 katika Uwanja wa Mkapa jijini Dar es Salaam baada ya mchezo wa mkondo wa kwanza uliopigwa mjini Jos nchini Nigeria kuondoka na ushindi wa bao 1-0.
Nakumbuka mechi ya Yanga na Mazembe ambayo Manji alilipia uwanja mzima mashabiki wa Yanga waingie bure.Mashabiki wa Simba nao walijazana kibao na kushangilia wakaishangilia Mazembe.Hii hali wasiikasirikie kwani wameianzisha wenyewe wawe wapole.
 
SIKUBALIANI NA HOJA YA MANARA KUWAZUIA MASHABIKI WA YANGA KUINGIA UWANJANI LAKINI WAKULAUMIWA NI TFF NA WALE WOTE WENYE DHAMANA KUTOCHUKUA HATUA SAHIHI KWA WAKATI MUAFAKA KWA VITENDO VYA KIHUNI NA KIUDHALILISHAJI VILIVYOFANYWA NA MASHABIKI WACHACHE WA YANGA ZAIDI YA MARA NNE.

MASHABIKI WACHACHE WAHUNI WA YANGA WALIWAPIGA NA KWADHALILISHA MASHABIKI WA SIMBA KATI YAO WAKIWA WANAWAKE UWANJA WA TAIFA, JAMHURI MOROGORO NA CHAMAZI. KAMA HAITOSHI WALIMDHALILISHA BIBI WA COASTAL UNION. NA WAKATI WANAWAPIGA WALIKUWA WAKISEMA KWANINI WAMEKUJA KUANGALIA MECHI ZA YANGA WAKATI HAZIWAHUSU. WOTE WALIOFANYA UHUNI HUO SURA ZILIKUWA ZINAONEKANA KWENYE VIDEO CLIP ZILIZORUSHWA MITANDAONI. JE KUNA HATUA GANI KALI ILICHUKULIWA NA TFF PAMOJA NA VYOMBO VINGINE VYENYE DHAMANA.

LEO WATU WANAMLAUMU MANARA WAKATI MATAMSHI YAKE NI MMEA ULIOOTA KUTOKANA NA MBEGU YA CHUKI ILIYOPANDWA UWANJA WA TAIFA, JAMHURI MOROGORO NA CHAMAZI. MMEA WA CHUKI ULIACHWA UOTE SASA UMEKUWA TUSUBIRI MATUNDA YAKE AMBAYO NI MABAYA SANA.

USHAURI WANGU KWA TFF NA WOTE WENYE MAAMUZI KUWA WALE WOTE WANOLETA FUJO UWANJANI WAWE WANASHTAKIWA MAHAKAMANI KWANI KUFUNGIWA KWENDA UWANJANI KUTAZAMA MECHI SIO ADHABU SAHIHI KWAO KUTOKANA NA UKUBWA WA KOSA WANALOLIFANYA. VINGINEVYO WAKIACHWA WAKIENDELEA NA UHUNI WAO WATASABABISHA MGAWANYO KWA WATANZANIA WAKATI SISI WATANZANIA TUNAPENDANA LICHA YA TOFAUTI ZETU NI WAMOJA NA NI WATU WA AMANI SANA.

KWA KUANZI VIONGOZI WA SIMBA NA YANGA WAITWE MARA MOJA NA TFF WAELEZWE MADHARA YA FUJO UWANJANI NA UONGOZI WA SIMBA HUSUSANI MANARA WAOMBWE WABADILISHE UAMUZI WAO NA KURUHUSU MASHABIKI WOTE WATAZAME MECHI YA PLATEAU. NA WALE WOTE WALIOLETA FUJO UWANJA WA TAIFA, JAMHURI MORORGORO, CHAMAZI NA WALIOMDHALILISHA BIBI WA COASTAL UNION WAKAMATWE NA WAFUMGULIWE MASHTAKA MARA MOJA ILI KULETA AMANI MICHEZONI.
 
Sasa kama ni mechi ya CAF kwa nn plateau walizuia kurusha live mechi ya kwanza ingali so Mali yao?!... Simba wanayo haki ya kuamua nan wakumuuzia tiketi kama ambavyo plateau walivyo kuwa na haki ya either kuruhu kuonesha ama kutoionesha live mechi ya kwanza!!

UTOPOLO TULIENI DAWA ISAMBAE VIZURI!!!
Una mhemko wa kike hakuna football ya hivyo duniani
 
Hivi Manara ni msemaji wa Simba, TFF au FIFA?

Mbona anaongea sana huyu binti?
 
Leo Simba mmetoa tamko rasmi kumkataa msemaji wenu

😂😂😂
Kinachoshangaza wamekaa kimya kama hawajaliona vile.shida hii inakuja endapo mtu anajiona yeye ni mkubwa kuliko taasisi,karopoka wamemkataa kisha watachukua hatua gani.Tusubiri na kuona.
 
Back
Top Bottom