Simba SC hii Logo mmebuni au mmekwapua sehemu?

Simba SC hii Logo mmebuni au mmekwapua sehemu?

Kurzweil

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2011
Posts
6,621
Reaction score
8,411
Habari wanaJF,

Klabu ya Simba inajinasibu kwa kuzindua Logo au Nembo yao Mpya lakini kama ni ukifuatilia wamecopy na kupaste kutoka kwa wengine.

Je hii haiwezi kuwaletea shida kwa janja janja hii?

1597410618329.png

Yanga afrika Yanga umoja wa mataifa...
Mabingwa wa Tanzania na Afrika mashariki ya kati eeeh.

Tunawa_zoom kwa mbaaali!
 
Kuna kinu kunaitwa copy write,Mwenye ubunifu wake akijua tayari tumemtajirisha.Tatizo ujuaji wa kina manara bila kuhusisha professionals.

Waliihitaji kuonana na creative director akasimamia hi kazi,siyo kila desktop designer ni creative director...

Hakuna ubunifu hapo zaidi ni kujiweka kwenye matatizo...Kubuni logo ama nembo Tena ya club kubwa Kama Simba inahitaji mchakato,siyo suala la kusema tu aahh namjua dogo mmoja ni balaa kabisa kwenye designing.
 
Kuna kinu kunaitwa copy write, Mwenye ubunifu wake akijua tayari tumemtajirisha. Tatizo ujuaji wa kina manara bila kuhusisha professionals.Waliihitaji kuonana na creative director akasimamia hi kazi, siyo kila desktop designer ni creative director. Hakuna ubunifu happy zaidi no kujiweka kwenye matatizo.
Ndio changamoto iliyopo Tanzania professionalism hakuna kabisa kwenye haya masuala. Kulikuwa na uharaka gani?
 
Ndio changamoto iliyopo Tanzania professionalism hakuna kabisa kwenye haya masuala. Kulikuwa na uharaka gani?
Tatizo ujuaji mwingi,hii tu inaweza kutuweka kwenye matatizo.Logo zenye picha ya Simba zipo nyingi duniani,na kila moja inamaana yake,mbaya zaidi hii inaonekana kabisa imesajiliwa...akipatikana mwanasheria wa kuchunguza fursa akawatafuta hawa jamaa akaja na ushahidi imekula kwetu.COSOTA ni mwanachama wa Copywriters Duniani,lengo ni kulinda kazi za ubunifu,lolote linaweza kutokea..100M na kuendelea inawahusu kwa kukwepa 2M ya creative director/designer
 
Hii inaweza kusambaa hadi kuwafikia wahusika. Inaweza kwenda mbali kimasikhara labda kama designer awe aminunua lakini sijui nini kimefanyika. Hapo utakuta zimewatoka fedha za kutosha
 
Kuna kinu kunaitwa copy write,Mwenye ubunifu wake akijua tayari tumemtajirisha.Tatizo ujuaji wa kina manara bila kuhusisha professionals.Waliihitaji kuonana na creative director akasimamia hi kazi,siyo kila desktop designer ni creative director...Hakuna ubunifu hapo zaidi ni kujiweka kwenye matatizo...Kubuni logo ama nembo Tena ya club kubwa Kama Simba inahitaji mchakato,siyo suala la kusema tu aahh namjua dogo mmoja ni balaa kabisa kwenye designing.

Kidogo tumekupata. Ila hapo kwenye "copy write" badilisha isomeke "copyright".
 
Back
Top Bottom