Samson Ngomboli
JF-Expert Member
- Oct 30, 2019
- 1,598
- 2,710
Hapo mnawezaambiwa kuwa logo imegharimu ml 10,kumbe wajanja wameenda mansese kutengeneza kwa elf 50,😃😃😃 maisha haya acha tu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
EPLHabari wanaJF,
Klabu ya Simba inajinasibu kwa kuzindua Logo au Nembo yao Mpya lakini kama ni ukifuatilia wamecopy na kupaste kutoka kwa wengine.
Je hii haiwezi kwaletea shida kwa janja janja hii?
Kuna kinu kunaitwa copy write, Mwenye ubunifu wake akijua tayari tumemtajirisha.Tatizo ujuaji wa kina manara bila kuhusisha professionals.Waliihitaji kuonana na creative director akasimamia hi kazi,siyo kila desktop designer ni creative director...Hakuna ubunifu hapo zaidi ni kujiweka kwenye matatizo...Kubuni logo ama nembo Tena ya club kubwa Kama Simba inahitaji mchakato,siyo suala la kusema tu aahh namjua dogo mmoja ni balaa kabisa kwenye designing.
Hizo picha zipo kwenye stock, unalipia dola kadhaa unapata original copy unaitumia, ts like designer wanavyonunua themes na picha kwenye shutter stock. aliyetengeneza ananufaika na manunuzi ya kazi yake kwenye store.Hii inaweza kusambaa hadi kuwafikia wahusika. Inaweza kwenda mbali kimasikhara labda kama designer awe aminunua lakini sijui nini kimefanyika. Hapo utakuta zimewatoka fedha za kutosha
sure, hiyo inauzwa. sifikilii kama kuna copy right issue kwenye hiliHizo logo huwa zinauzwa, kuna uwezekano wamelipia ndio maana ikaondolewa hiyo watermark
Ha aha haahhHa ha ha ha HAPANA mimi nilikuwa nazungumzia hiyo "kucopy na kupaste" as concepts. Si lazima hivyo vifanane!? Ndiyo maana kuna wakati mmchinga mmoja alikuja na jezi zinazofanana na za Young Africans Sports Club (YANGA) LAKINI yeye akaziandika Young Africans Football Club. Hapo alicopy na kupaste au alifanya nini!?
Rangi nayo je?Picha ya simba wao anaangalia kushoto sisi wetu anaangalia kuume! Hiyo tofauti inatosha kuonesha hiki ni kitu kingine. Someni copyright law
😁 Nafikiri ni typing errors,hata sijui why sikuipitia Mara ya pili..shukraniKidogo tumekupata. Ila hapo kwenye "copy write" badilisha isomeke "copyright".
Bongo Kuna ubunifu Zaid ya Chips Zege?Mzee unajua maana ya ubunifu
Hii ni Copy and paste .aliyelipwa kwa kazi hiyo, ateme mpunga huo fastaHabari wanaJF,
Klabu ya Simba inajinasibu kwa kuzindua Logo au Nembo yao Mpya lakini kama ni ukifuatilia wamecopy na kupaste kutoka kwa wengine.
Je hii haiwezi kuwaletea shida kwa janja janja hii?
Sasa povu la nini, ya kwenu nzuri iliyowapa kombe iko wapi, taahira weweHuyu ndiye shabiki wa mikia tena nadhani hua anashinda kwenye Kahawa kubishana mpira mahana kwa Mtu makini huwezi kuropoka pumba kama hii, kwanza umeona mtoa mada kasema logo inaingia uwanjani?