makedonia
JF-Expert Member
- Nov 17, 2014
- 4,171
- 3,461
majizi yamejitutumuaHabari wanaJF,
Klabu ya Simba inajinasibu kwa kuzindua Logo au Nembo yao Mpya lakini kama ni ukifuatilia wamecopy na kupaste kutoka kwa wengine.
Je hii haiwezi kuwaletea shida kwa janja janja hii?