Simba SC hii Logo mmebuni au mmekwapua sehemu?

Hapo mnawezaambiwa kuwa logo imegharimu ml 10,kumbe wajanja wameenda mansese kutengeneza kwa elf 50,πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ maisha haya acha tu.
 
Hiyo ipo kwenye adobe stock hivyo everyone anaweza kutumia kutengeneza ma logo hata wewe pia ukitaka.

Ipo kwenye app ya ku deaign logos.
 

Copyright!
 
Hii inaweza kusambaa hadi kuwafikia wahusika. Inaweza kwenda mbali kimasikhara labda kama designer awe aminunua lakini sijui nini kimefanyika. Hapo utakuta zimewatoka fedha za kutosha
Hizo picha zipo kwenye stock, unalipia dola kadhaa unapata original copy unaitumia, ts like designer wanavyonunua themes na picha kwenye shutter stock. aliyetengeneza ananufaika na manunuzi ya kazi yake kwenye store.
 
Ha aha haahh
 
Sio mtaalamu wa masuala ya branding, ila kwa upeo mdogo naona logo ya simba haikuwa inabuniwa ila inaboreshwa maana ilikuwepo ya mwanzo.
Na kingine kwenye branding tofauti ya muelekeo/direction inafanya utofauti wa kila kitu ht kama kitu ni hicho hicho, ila pia sio lazima tuwe reactive kwa kila kitu vingne tuviache viflow according to nature.
 
Nguvu moja ilikuwa kiashiria cha wanachama. Sasa nu mali ya Mo. Hakuna cha guvu moya.
 
Hii pic ukiangalia vizur kuanza sikioni kunatofauti kwenda kwenye nywele kwa nyuma kwa kigezo cha copyrights uwezi shitaki mana iko tofauti kwa mtu wa graphics anaelewa kuna tofauti ila ideas ni simba ndo mana unaona zinafanana ameelekea kidg kufananisha
 
Habari wanaJF,

Klabu ya Simba inajinasibu kwa kuzindua Logo au Nembo yao Mpya lakini kama ni ukifuatilia wamecopy na kupaste kutoka kwa wengine.

Je hii haiwezi kuwaletea shida kwa janja janja hii?

Hii ni Copy and paste .aliyelipwa kwa kazi hiyo, ateme mpunga huo fasta
 
Huyu ndiye shabiki wa mikia tena nadhani hua anashinda kwenye Kahawa kubishana mpira mahana kwa Mtu makini huwezi kuropoka pumba kama hii, kwanza umeona mtoa mada kasema logo inaingia uwanjani?
Sasa povu la nini, ya kwenu nzuri iliyowapa kombe iko wapi, taahira wewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…