makedonia JF-Expert Member Joined Nov 17, 2014 Posts 4,171 Reaction score 3,461 Aug 15, 2020 #61 Kurzweil said: Habari wanaJF, Klabu ya Simba inajinasibu kwa kuzindua Logo au Nembo yao Mpya lakini kama ni ukifuatilia wamecopy na kupaste kutoka kwa wengine. Je hii haiwezi kuwaletea shida kwa janja janja hii? View attachment 1537048 Click to expand... majizi yamejitutumua
Kurzweil said: Habari wanaJF, Klabu ya Simba inajinasibu kwa kuzindua Logo au Nembo yao Mpya lakini kama ni ukifuatilia wamecopy na kupaste kutoka kwa wengine. Je hii haiwezi kuwaletea shida kwa janja janja hii? View attachment 1537048 Click to expand... majizi yamejitutumua
CARIFONIA JF-Expert Member Joined Aug 17, 2013 Posts 616 Reaction score 1,453 Aug 15, 2020 #62 the say said: Sasa povu la nini, ya kwenu nzuri iliyowapa kombe iko wapi, taahira wewe Click to expand...
the say said: Sasa povu la nini, ya kwenu nzuri iliyowapa kombe iko wapi, taahira wewe Click to expand...
Ramo JF-Expert Member Joined Aug 30, 2018 Posts 1,818 Reaction score 1,824 Aug 15, 2020 #63 Mimi naombea hao adope washitukie hii janja janja.
Nyamizi Platinum Member Joined Feb 19, 2009 Posts 9,186 Reaction score 13,757 Aug 15, 2020 #64 la magica said: Basi yanga mtaenda kutusemea tumeiba logo. Click to expand... Wataenda kushtaki CAS,Wazee wa kulia lia
la magica said: Basi yanga mtaenda kutusemea tumeiba logo. Click to expand... Wataenda kushtaki CAS,Wazee wa kulia lia
kadeti JF-Expert Member Joined Aug 19, 2011 Posts 1,115 Reaction score 1,105 Aug 15, 2020 #65 Siku Manara akitoka simba Logo ya zamani itarudishwa maana hii ya sasa ni fake, siyo logo ya simba halisi. Manara unaipeleka wapi Simba.....?
Siku Manara akitoka simba Logo ya zamani itarudishwa maana hii ya sasa ni fake, siyo logo ya simba halisi. Manara unaipeleka wapi Simba.....?