Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukweli ndo huo nafasi ya 3 yenu ligi kuu
Simba ndio timu pekee inayotandaza soka lakitabuni hapa Tanzania kubali kataa!nipe mbaya nikupe nzuri, pasi kuachia.
Taitizo mshazoea kusajili majina sio vipaji. Nakuhakikishia SSC wakiongeza gear kidogo toka walipokuwa last season mambo yatakuwa mazuri sana. NYIE MBELEKO FC HUWA MNASUMBUA SANA WAKATI WA USAJILI LIGI IKIANZA WA KAWAIDA SANA
Mikia kwa kujifariji bwana wamo, hata skendo za Mavugo mlikuwa mnajipa moyo hivo hivo lakini mwisho wa siku mnaishia kujipa moyo kwa akina Migomba na Mgosi.
Haaaaaaa haaaaaaaaa
Mavugo alikuwa ana kiwango kama Ronaldo na Mesi huyu Lyanga amemfikia hata Maguli?Mkuu, kuhusu Mavugo.. Vital'o wameongeza dau maradufu tofauti na makubaliano ya awali.. Ila kuna binadamu anaitwa Danny Lyanga toka Daring Motema Pemba a.k.a DC Motema Pembe ameshatua kuziba pengo la Mavugo.
Danny Lyanga ni nani?
- Kazaliwa 28/07/1991 (miaka 24) jijini Arusha
-Baada ya kucheza soka kwa kiwango cha juu kabisa mitaani, msimu wa 2010/2011 akiwa na miaka 19 tu, alitua timu ya Arusha FC na kuingia moja kwa moja 1st eleven, ambapo rekodi yake ya kutupia magoli ni ile ile kama ya Mavugo.. Mechi moja, Goli moja au zaidi
-Kutokana na kuonesha kiwango bora msimu uliofuata alitua Coastal Union, ambapo alicheza misimu miwili. Msimu wake wa mwisho alitupia goli 7, na goli la mwisho kufunga lilikua katika uwanja wa Mkwakwani dhidi ya timu yako (Azam FC) na gemu iliisha 1-1.. Na siku hiyo Ndala wakatangaza ubingwa wakiwa na mechi mbili mkononi.
-Msimu ukiofuata, alijiunga DC Motema Pembe.. na hii ni baada ya kuzipiga chini Simba, Ndala na Azam.
- Msimu uliopita, mkataba wake umeisha.. Hivyo anatua Simba SC akiwa huru.
KARIBU SANA SIMBA SC.. Mshambuliaji hatari, Danny Lyanga.
Mavugo alikuwa ana kiwango kama Ronaldo na Mesi huyu Lyanga amemfikia hata Maguli?
wamchangani kama kawaida yao za kirafiki wanashindaga sana wakicheza na timu za mchangani ambazo haziwez kupiga hata shuti moja kwenye lango la timu pinzan, huku magazet ya dimba bingwa champion na mwanaspot yakiwapamba vilivyo ..nimesoma mahala Yule mchezaji wao aliye kufa akafufuka zanzibar anaitwa maguli wamemkata