Simba SC, hii sasa sifa...

Simba SC, hii sasa sifa...

Simba msituangushe washabiki wemu msimu huu tafadhalini
 
Simba msituangushe washabiki wemu msimu huu tafadhalini

Mkuu kwa maandalizi yaliyofanyika, msimu ujao Simba SC itakua moto wa kuotea mbali (zaidi ya kilomita 10000).. Amini nachokuambia Mkuu.
 
Simba ndio timu pekee inayotandaza soka lakitabuni hapa Tanzania kubali kataa!nipe mbaya nikupe nzuri, pasi kuachia.
 
Ukweli ndo huo nafasi ya 3 yenu ligi kuu

Taitizo mshazoea kusajili majina sio vipaji. Nakuhakikishia SSC wakiongeza gear kidogo toka walipokuwa last season mambo yatakuwa mazuri sana. NYIE MBELEKO FC HUWA MNASUMBUA SANA WAKATI WA USAJILI LIGI IKIANZA WA KAWAIDA SANA
 
Simba ndio timu pekee inayotandaza soka lakitabuni hapa Tanzania kubali kataa!nipe mbaya nikupe nzuri, pasi kuachia.

Ulichonena mkuu ni ukweli mtupu.. Hapa chini, Mshambuliaji hatari pia Mkongwe, Musa Hassan Mgosi ambaye amecheza Simba SC kwa miaka mingi kwa mafanikio makubwa, anasapoti kauli yako..

"Simba ina falsafa ya kipekee. Licha kwamba timu huwa ikisaka matokeo, ila sera yao ni kucheza soka la pasi nyingi na la kuvutia kwa kuwa wanalenga kuwaburudisha mashabiki. Sasa kwa Msuva hawezi kwani soka lake la kukimbia pembeni halichezwi sana Simba,” alisema.

Source: http://www.mwanaspoti.co.tz/Soka/Ms...sawa/-/1799484/2818160/-/vatlhwz/-/index.html
 
Taitizo mshazoea kusajili majina sio vipaji. Nakuhakikishia SSC wakiongeza gear kidogo toka walipokuwa last season mambo yatakuwa mazuri sana. NYIE MBELEKO FC HUWA MNASUMBUA SANA WAKATI WA USAJILI LIGI IKIANZA WA KAWAIDA SANA

Hata msajili timu nzima ya Libolo na muwarudishe akina Sengekuma wote wale wa Uganda nafasi yenu ni ile ile ya 3.
 
Mikia kwa kujifariji bwana wamo, hata skendo za Mavugo mlikuwa mnajipa moyo hivo hivo lakini mwisho wa siku mnaishia kujipa moyo kwa akina Migomba na Mgosi.
Haaaaaaa haaaaaaaaa
 
Mikia kwa kujifariji bwana wamo, hata skendo za Mavugo mlikuwa mnajipa moyo hivo hivo lakini mwisho wa siku mnaishia kujipa moyo kwa akina Migomba na Mgosi.
Haaaaaaa haaaaaaaaa

Haha.. Habari za siku Mkuu?! Karibu Simba Day 08/08/2015, Taifa Stadium.
 
Mkuu, kuhusu Mavugo.. Vital'o wameongeza dau maradufu tofauti na makubaliano ya awali.. Ila kuna binadamu anaitwa Danny Lyanga toka Daring Motema Pemba a.k.a DC Motema Pembe ameshatua kuziba pengo la Mavugo.
Danny Lyanga ni nani?

- Kazaliwa 28/07/1991 (miaka 24) jijini Arusha

-Baada ya kucheza soka kwa kiwango cha juu kabisa mitaani, msimu wa 2010/2011 akiwa na miaka 19 tu, alitua timu ya Arusha FC na kuingia moja kwa moja 1st eleven, ambapo rekodi yake ya kutupia magoli ni ile ile kama ya Mavugo.. Mechi moja, Goli moja au zaidi

-Kutokana na kuonesha kiwango bora msimu uliofuata alitua Coastal Union, ambapo alicheza misimu miwili. Msimu wake wa mwisho alitupia goli 7, na goli la mwisho kufunga lilikua katika uwanja wa Mkwakwani dhidi ya timu yako (Azam FC) na gemu iliisha 1-1.. Na siku hiyo Ndala wakatangaza ubingwa wakiwa na mechi mbili mkononi.

-Msimu ukiofuata, alijiunga DC Motema Pembe.. na hii ni baada ya kuzipiga chini Simba, Ndala na Azam.

- Msimu uliopita, mkataba wake umeisha.. Hivyo anatua Simba SC akiwa huru.

KARIBU SANA SIMBA SC.. Mshambuliaji hatari, Danny Lyanga.
Mavugo alikuwa ana kiwango kama Ronaldo na Mesi huyu Lyanga amemfikia hata Maguli?
 
Mavugo alikuwa ana kiwango kama Ronaldo na Mesi huyu Lyanga amemfikia hata Maguli?

Mkuu, Mavugo hakua na kiwango kama cha Ronaldo au Messi.. bali rekodi zake zipo daraja moja za kina Messi.
Huyu Lyanga nae hadi anaondoka Bongo alikua mtamu sana, ndo mana timu kubwa zote zilikua zikimtaka.
Naamini ule ufundi wake wa kucheka na nyavu umeongezeka mara dufu.
 
wamchangani kama kawaida yao za kirafiki wanashindaga sana wakicheza na timu za mchangani ambazo haziwez kupiga hata shuti moja kwenye lango la timu pinzan, huku magazet ya dimba bingwa champion na mwanaspot yakiwapamba vilivyo ..nimesoma mahala Yule mchezaji wao aliye kufa akafufuka zanzibar anaitwa maguli wamemkata
 
Mkuu, karibu Taifa Stadium leo.
 
Niliposoma tu kichwa cha taarifa hii nilijua mwandishi ni sembo
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom