Simba SC iko vizuri ila suala la kuchukua Klabu Bingwa Afrika akili na mwili vinakataa

Anatumia ushabiki zaidi kuliko uchambuzi sasa unafikiri ataweza kukuelewa?

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
The fact kwamba wewe umekaa chini na kuandika uzi titled, "Simba SC iko vizuri ila suala la kuchukua Klabu Bingwa Afrika akili na mwili vinakataa" speaks volume about uwezo wa Simba, na improvement ya Simba over the years. Simba imeshiriki mashindano haya recently mara tatu mfululizo, 2 years back you could never write a thread like this, ungeonekana ni kichaa. But, leo umeandika huu uzi, na wapo wanaokusupport na wanaokupinga, is a living proof kuwa Simba iko in the right direction. Next year, Inshaallah Tz tutapeleka timu 4 mashindano ya Kimataifa, probably Yanga pia itashiriki kwa mgongo huo. Tutaona kama yanga itafikia hatua ya mtu kuweza kufungua thread na kusema Yanga haiwezi kuchukua ubingwa wa Afrika.
Inahitaji imani ya ajabu sana kuibeza Simba kwa sasa.
 
Hii al ahl ya pisto motosiyomane imeshuka sana kiuwezo baada ya huyo mtegemea tunguri wa SA kuanza kuifundisha. Simba akishinda Cairo anaweza kwenda fainali.
ubingwa ulipita Alahaly nani kawapa?
 
Hii al ahl ya pisto motosiyomane imeshuka sana kiuwezo baada ya huyo mtegemea tunguri wa SA kuanza kuifundisha. Simba akishinda Cairo anaweza kwenda fainali.

Wakitolewa watamtimua tu....Al ahly haikua hivyo kabla yake.
 
Mwenye kufikiri Simba atafika fainali akapimwe akili
 
Hali halisi kama hii ndiyo inawafanya Utopolo kila wakati waiombee mabaya Simba.
Your browser is not able to display this video.
 
Kama wana uwezo wa kumfunga al ahly kwa kumzidi vile basi wana uwezo wa kufunga timu yoyote.
 
Hakuna timu inayoandaliwa kwenda kushindwa na kocha hata awe na timu mbovu vp ukimhoji atasema naenda kufungwa so walipofika simba hata wakitolewa sisi km mashabiki hatuidai chochote hivyo basi Simba yaweza kukushangaza nusu fainali au fainali kabisa ikacheza Mungu ni wetu sote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…