Simba SC iko vizuri ila suala la kuchukua Klabu Bingwa Afrika akili na mwili vinakataa

Simba SC iko vizuri ila suala la kuchukua Klabu Bingwa Afrika akili na mwili vinakataa

Ukisema Simba haiwezi kuchukua ubigwa wa Afrika eti kisa haina nyota, ninakua na mashaka na uwezo wako wa kufikiri. Kitaaluma hakuna kitu kinachoitwa nyota, neno nyota limekaa kiimani zaidi na ni hoja dhaifu kuitumia unapotoa hukumu kwenye mambo yaliyokaa kitaaluma zaidi kama haya.

Kuhusu suala la Simba kuchukua ubingwa wa Afrika mbona lilishaongelewa kuwa target kubwa ya timu ni kufika nusu fainali, na kama ikitokea ikachua ubingwa kwani tatizo liko wapo maana hapo timu itakua imevuka malengo yaani kama kwenye asilimia, mafanikio ya timu yataku yamekua asilimia 100.

NB: Ukiachana na hoja niliyoitoa hapo juu kabisa nilipokua najaribu kukuweka sawa kuhusu suala la nyota kwenye uhalisia wa taaluma kwamba hicho kitu hakipo. Nipe sababu zingine, kwa nini Simba haiwezi kuchukua ubingwa wa Afrika safari hii..?
Anatumia ushabiki zaidi kuliko uchambuzi sasa unafikiri ataweza kukuelewa?

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Habari

Naona mapambio ni mengi sana kuhusu ubora wanaoonesha simba ,kuna viumbe vimeenda mbali na kumaliza hesabu kuwa tayari kombe la linaingia msimbazi.

Mimi binafsi nikiwa na akili timamu nasema hivi simba hana uwezo Wa kuchukua club bingwa Afrika, yuko vizuri ila hana nyota na hilo kombe.

Uzi tayari
The fact kwamba wewe umekaa chini na kuandika uzi titled, "Simba SC iko vizuri ila suala la kuchukua Klabu Bingwa Afrika akili na mwili vinakataa" speaks volume about uwezo wa Simba, na improvement ya Simba over the years. Simba imeshiriki mashindano haya recently mara tatu mfululizo, 2 years back you could never write a thread like this, ungeonekana ni kichaa. But, leo umeandika huu uzi, na wapo wanaokusupport na wanaokupinga, is a living proof kuwa Simba iko in the right direction. Next year, Inshaallah Tz tutapeleka timu 4 mashindano ya Kimataifa, probably Yanga pia itashiriki kwa mgongo huo. Tutaona kama yanga itafikia hatua ya mtu kuweza kufungua thread na kusema Yanga haiwezi kuchukua ubingwa wa Afrika.
Inahitaji imani ya ajabu sana kuibeza Simba kwa sasa.
 
Hii al ahl ya pisto motosiyomane imeshuka sana kiuwezo baada ya huyo mtegemea tunguri wa SA kuanza kuifundisha. Simba akishinda Cairo anaweza kwenda fainali.
ubingwa ulipita Alahaly nani kawapa?
 
Hii al ahl ya pisto motosiyomane imeshuka sana kiuwezo baada ya huyo mtegemea tunguri wa SA kuanza kuifundisha. Simba akishinda Cairo anaweza kwenda fainali.

Wakitolewa watamtimua tu....Al ahly haikua hivyo kabla yake.
 
Mwenye kufikiri Simba atafika fainali akapimwe akili
 
Hali halisi kama hii ndiyo inawafanya Utopolo kila wakati waiombee mabaya Simba.
IMG-20210407-WA0003.jpg
 
Kama wana uwezo wa kumfunga al ahly kwa kumzidi vile basi wana uwezo wa kufunga timu yoyote.
 
Habari

Naona mapambio ni mengi sana kuhusu ubora wanaoonesha simba ,kuna viumbe vimeenda mbali na kumaliza hesabu kuwa tayari kombe la linaingia msimbazi.

Mimi binafsi nikiwa na akili timamu nasema hivi simba hana uwezo Wa kuchukua club bingwa Afrika, yuko vizuri ila hana nyota na hilo kombe.

Uzi tayari
Hakuna timu inayoandaliwa kwenda kushindwa na kocha hata awe na timu mbovu vp ukimhoji atasema naenda kufungwa so walipofika simba hata wakitolewa sisi km mashabiki hatuidai chochote hivyo basi Simba yaweza kukushangaza nusu fainali au fainali kabisa ikacheza Mungu ni wetu sote.
 
Back
Top Bottom