Simba SC imepangwa kundi gumu ila ratiba ya kundi itawabeba

we jamaa head coach na tunaoifaham simba tunajua kund jepes kwetu



saiz wenyewe tunajua fitina na how to handle them

hata wao wanatuogopa coz tumezitoa team za kibabe kabisa



amini usiamin lets assume nkana asingetolewa na simba na wasingekutana af wakapangwa kundi moja...kuna watu wangesema nkana ngum waki compare na zesco kua ni team ya zambia na ilifika nusu fainali





team za Africa siwez kusimuliwa coz nimeshuhudia uwezo wao c TP mazembe,Mamelod sundown,Al Ahly wala mimosas zote lain




msiichukulie poa simba na wala usiwaambie tumekata tamaaa


Team ina chama,Dilunga,Okwi,Kwas,Kichuya,kagere,fundi Mkude,Boko,Kichuya,Tshabalala,Pascal wawa,nyoni,kapombe,kotei....what the hell is kukata tamaa


THIS IS SIMBA BROTHER




I AM SINA JAMBO

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umenena!

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Tim ipi unaiogopa?
 
Mkuu wanaoongoza kukata tamaa ni Vyura FC. Msimu ulioisha walipangwa kundi la vibonde wakawa wanagawa points tu kwa kukata tamaa mapema. Fuatilia utaghndua Simba hatukatagi tamaa. Kama tutatolewa basi kwa kupambana si ku-give up rahisi rahisi tu


Sent using Jamii Forums mobile app
 
"hata hao Al Ahly 'wanaowaogopa' baadhi ya watu, pia wamefungwa mechi ya mwisho na timu ya Ethiopia ugenini)....nakumbushia hata KCCA pale uganda alijipigia 2 nunge ....
 
Ratiba inabeba vipi wakati mechi zote ni home and away?
Kuanzia home ni immaterial.
 
Umesema ukweli mkuu umesomeka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…