GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Kuna timu moja GENTAMYCINE naionya mapema ijitahidi tu kwa Makusudi ifungwe na Azam FC kwani ikishinda na ikikutana nami Simba SC ninayeenda kumpiga Kipigo cha Kishalubela (Kikatili) Nduguye wa yatokako Mafuta ya Alizeti na Kuku wazuri wa Kienyeji naenda Kumfunga Goli 7 au 9 na hawatoamini.
Msije kusema GENTAMYCINE sikuwaonya.
Msije kusema GENTAMYCINE sikuwaonya.