GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Ugua pole1. DIARRA
2. YAO
3. KIBABAGE
4. FRED
5. BACCA
6. AUCHO
7. MAX
8. ZOUZOUA
9. LILEPO
10. AZIZ KI
11. MSUVA
SUB.
1. MUSONDA
2. METACHA
3. JOB
4. NONDO
5. SKUDU
6. MUDATHIR
7. SUREBOY
8. FARID
9. MKUDE
10. MZIZE
Usiseme hujaambiwa ndugu POPOMA.
lini mlimsajili Msuva, kama mshahara wa Mayele umewashinda mtaweza wa Msuva1. DIARRA
2. YAO
3. KIBABAGE
4. FRED
5. BACCA
6. AUCHO
7. MAX
8. ZOUZOUA
9. LILEPO
10. AZIZ KI
11. MSUVA
SUB.
1. MUSONDA
2. METACHA
3. JOB
4. NONDO
5. SKUDU
6. MUDATHIR
7. SUREBOY
8. FARID
9. MKUDE
10. MZIZE
Usiseme hujaambiwa ndugu POPOMA.
Na mwambie kuwa tunajua kwa sasa Yanga SC kuna Ukata mkubwa wa Fedha ndiyo maana wamewapa Adhabu za Kisiri Bangala, Lomalisa na Djuma kwa Kudai Fedha zao.lini mlimsajili Msuva, kama mshahara wa mayele umewashinda mtaweza wa Msuva
amna maokoto yakumlipa lilepo nyie kazi yenu ni kuchukua kwa mkopo kutoka congo1. DIARRA
2. YAO
3. KIBABAGE
4. FRED
5. BACCA
6. AUCHO
7. MAX
8. ZOUZOUA
9. LILEPO
10. AZIZ KI
11. MSUVA
SUB.
1. MUSONDA
2. METACHA
3. JOB
4. NONDO
5. SKUDU
6. MUDATHIR
7. SUREBOY
8. FARID
9. MKUDE
10. MZIZE
Usiseme hujaambiwa ndugu POPOMA.
Popoma umeanza kuhar.a jukwaaniNa mwambie kuwa tunajua kwa sasa Yanga SC kuna Ukata mkubwa wa Fedha ndiyo maana wamewapa Adhabu za Kisiri Bangala, Lomalisa na Djuma kwa Kudai Fedha zao.
Huwezi kutumia Fedha nyingi Kuhonga Marefa, Wachezaji na Timu kwa mwaka mzima ili ubebe Vikombe na ufike mbali Kimataifa halafu Usitoboke Mfuko na Msimu Mpya ukawa bado stable Financially.
Kuna Njaa huko Yanga SC hadi Huruma.
Mshahara wa mchezaji wa ndani hauzingatii gharama za usafiri wa kwenda kwako, kibali cha kuishi nk. Hivyo wachezaji wa ndani mil 15 ni level kubwa. Wachezaji wa nje unaona wanalipwa pesa kubwa kutokana na mazingira ya kazi mkuu.lini mlimsajili Msuva, kama mshahara wa Mayele umewashinda mtaweza wa Msuva
h
amna maokoto yakumlipa lilepo nyie kazi yenu ni kuchukua kwa mkopo kutoka congo
Msuva anapata mshahara wa levo za waarabu hivyo usiwaze atakuja kulipwa milioni 15 au 20Mshahara wa mchezaji wa ndani hauzingatii gharama za usafiri wa kwenda kwako, kibali cha kuishi nk. Hivyo wachezaji wa ndani mil 15 ni level kubwa. Wachezaji wa nje unaona wanalipwa pesa kubwa kutokana na mazingira ya kazi mkuu.
Mshahara anaopata Uarabuni, unajumuisha mambo mengi, sasa akiwa home hayo mambo yanapungua kwa 50%. Gharama za kuishi na familia, Vibali vyao, Maeneo ya kuishi (ukiwa mgeni huwezi ishi uswazi) nk.Msuva anapata mshahara wa levo za waarabu hivyo usiwaze atakuja kulipwa milioni 15 au 20
yeye mwenyewe keshasema hakuna timu Tanzania inayoweza kumsajili. Hivi umesahau wakati ule ana mgogoro na timu yake, walishindwa Nini kumsajili.Mshahara anaopata Uarabuni, unajumuisha mambo mengi, sasa akiwa home hayo mambo yanapungua kwa 50%. Gharama za kuishi na familia, Vibali vyao, Maeneo ya kuishi (ukiwa mgeni huwezi ishi uswazi) nk.
Hizo Pesa zinacover mambo mengi.