Kwa mujibu wa TFF hawa wote hawajasajiiwa1. DIARRA
2. YAO
3. KIBABAGE
4. FRED
5. BACCA
6. AUCHO
7. MAX
8. ZOUZOUA
9. LILEPO
10. AZIZ KI
11. MSUVA
SUB.
1. MUSONDA
2. METACHA
3. JOB
4. NONDO
5. SKUDU
6. MUDATHIR
7. SUREBOY
8. FARID
9. MKUDE
10. MZIZE
Usiseme hujaambiwa ndugu POPOMA.
Hivi wewe ni mwanaume au mwanamke?Kuna timu moja GENTAMYCINE naionya mapema ijitahidi tu kwa Makusudi ifungwe na Azam FC kwani ikishinda na ikikutana nami Simba SC ninayeenda kumpiga Kipigo cha Kishalubela (Kikatili) Nduguye wa yatokako Mafuta ya Alizeti na Kuku wazuri wa Kienyeji naenda Kumfunga Goli 7 au 9 na hawatoamini.
Msije kusema GENTAMYCINE sikuwaonya.
Hii timu ingekua ya nabi watu wangekimbia viwanjani,moto Sana hii1. DIARRA
2. YAO
3. KIBABAGE
4. FRED
5. BACCA
6. AUCHO
7. MAX
8. ZOUZOUA
9. LILEPO
10. AZIZ KI
11. MSUVA
SUB.
1. MUSONDA
2. METACHA
3. JOB
4. NONDO
5. SKUDU
6. MUDATHIR
7. SUREBOY
8. FARID
9. MKUDE
10. MZIZE
Usiseme hujaambiwa ndugu POPOMA.
Dirisha halijafungwa badoKwa mujibu wa TFF hawa wote hawajasajiiwa
Kama sijakosea hata Kodi Yao ni kubwa kuliko ya mchezaji wa ndani.Mshahara wa mchezaji wa ndani hauzingatii gharama za usafiri wa kwenda kwako, kibali cha kuishi nk. Hivyo wachezaji wa ndani mil 15 ni level kubwa. Wachezaji wa nje unaona wanalipwa pesa kubwa kutokana na mazingira ya kazi mkuu.
Sio hawajasajiliwa ni kwamba Yanga hawajaattach majina kwenye mfumo wa FIFA.Kwa mujibu wa TFF hawa wote hawajasajiiwa
Diarra hayupo hapo weka metacha mzee wa dole la kati1. DIARRA
2. YAO
3. KIBABAGE
4. FRED
5. BACCA
6. AUCHO
7. MAX
8. ZOUZOUA
9. LILEPO
10. AZIZ KI
11. MSUVA
SUB.
1. MUSONDA
2. METACHA
3. JOB
4. NONDO
5. SKUDU
6. MUDATHIR
7. SUREBOY
8. FARID
9. MKUDE
10. MZIZE
Usiseme hujaambiwa ndugu POPOMA.
leo yanga tunashusha vtuma 3 akiwemo msuvaKuna timu moja GENTAMYCINE naionya mapema ijitahidi tu kwa Makusudi ifungwe na Azam FC kwani ikishinda na ikikutana nami Simba SC ninayeenda kumpiga Kipigo cha Kishalubela (Kikatili) Nduguye wa yatokako Mafuta ya Alizeti na Kuku wazuri wa Kienyeji naenda Kumfunga Goli 7 au 9 na hawatoamini.
Msije kusema GENTAMYCINE sikuwaonya.
Semenya.Hivi wewe ni mwanaume au mwanamke?
Kwa kutoambatanisha ( attach ) Kwao huko unawaona Viongozi wa Yanga SC yako wana Akili Timamu Kweli au wana Akili za Kipa Katoka Golini tu kama Wewe?Sio hawajasajiliwa ni kwamba Yanga hawajaattach majina kwenye mfumo wa FIFA.
Umeshaanza Kuvuta Bange / Bangi nawe?
bangi au bange sivuti vuta subiraUmeshaanza Kuvuta Bange / Bangi nawe?
Alisema liniyeye mwenyewe keshasema hakuna timu Tanzania inayoweza kumsajili. Hivi umesahau wakati ule ana mgogoro na timu yake, walishindwa Nini kumsajili.
fatilia mahojiano aliyofanya na gazeti la mwanaspotiAlisema lini
Msuva analipwa $12000 kwa wiki je yanga Wana uwezo wa kulipa huo mshaharaAlisema lini
Nimekuuliza alisema lini mimi sitaki blahblahfatilia mahojiano aliyofanya na gazeti la mwanaspoti
usinifokee kama unaniona muongo pita mbeleNimekuuliza alisema lini mimi sitaki blahblah
Wana akili, kwa maana muda bado, wakimaliza kila kitu wataattach ndani ya siku moja tu.Kwa kutoambatanisha ( attach ) Kwao huko unawaona Viongozi wa Yanga SC yako wana Akili Timamu Kweli au wana Akili za Kipa Katoka Golini tu kama Wewe?
Nyie fainali ya losers mlisema Nabi yupo na mwanae kajiandaa kusaini mkataba mpya...ila kilicho tokea wote mashahidiYanga leo au kesho inamtangaza lilepo au lamine jarjou,kumbuka hersi wakati anahojiwa south africa alisema Yanga ya msimu ujao itakua bora zaidi ya msimu uliopita,kolos jiandaeni kisaikolojia