Simba SC inapiga soka la kasi, ukila goli 10 usilaumiwe

Video clip ya Sekunde 30 ndio inakupa conclusion? Wewe jamaa siyo mzima.

Kumbe ndio maana huwa mnaokota tu wachezaji akiwatumia video ya dakika moja anawapiga chenga mazuzu basi mnajaa.
Ipo ndefu..hiyo ameifupisha kulingana na mahitaji ya humu
 
Ujinga mtupu, hakuna soka lolote, walevi tu hao, wanacheza kama wamevimbiwa makande
 
kwa kasi hii uki compare na ile aliyopelekewa kaizer juzi kweli unaweza ukapiga mtu 10 ila kwenye dabi FT ubao unaweza someka someka simba 10-25 yanga...watu wa amapiano walichezeshwa singeli ile siku siwezi sahau
 
Video clip ya Sekunde 30 ndio inakupa conclusion? Wewe jamaa siyo mzima.

Kumbe ndio maana huwa mnaokota tu wachezaji akiwatumia video ya dakika moja anawapiga chenga mazuzu basi mnajaa.
[emoji1787][emoji1787]...! Wameokota kipa mmoja huko mlemavu.
 
kwa kasi hii uki compare na ile aliyopelekewa kaizer juzi kweli unaweza ukapiga mtu 10 ila kwenye dabi FT ubao unaweza someka someka simba 10-25 yanga...watu wa amapiano walichezeshwa singeli ile siku siwezi sahau
Muombe radhi Diara, Yanga hata isipoweka kipa golini huwezi kuambulia goli hizo.
 
Kwa tabia hizi ndio maana mnazimia uwanjani mnawapa watu shida Bure. Mpira hauna kasi yoyote, timu yenyewe ya daraja la Tano. Mkija kufungwa kwenye ligi msipige kelele
Ona huyu bwege. Man City mwenyewe anakimbiza na bado anafungwa, itakuwa Simba? Hili jukwaa limevamiwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…