Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyu ni bogus siku nyingi tu ktk mambo ya mpira na si yeye tu wako wenzakeNi rasmi sasa kuwa huyu mtu hajui chochote kuhusu mpira.
Mkuu mambo vipi?Kibu D yupo kwa ajili ya hiyo timu iliyojifungia chumbani kwake.
Yupo mwingine jina linaanza na namba naye ni kituko mjini.Huyu ni bogus siku nyingi tu ktk mambo ya mpira na si yeye tu wako wenzake
Mwacheni mwananguYupo mwingine jina linaanza na namba naye ni kituko mjini.