Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ona huyu bwege. Man City mwenyewe anakimbiza na bado anafungwa, itakuwa Simba? Hili jukwaa limevamiwa
AaahaaaaaaaaKinyume chake unakuja kula chuma kumi na mtu ambae aliamua kujifungia chumbani kwake sijui utawaambia nini watu?
AaahaaaaaaaaKinyume chake unakuja kula chuma kumi na mtu ambae aliamua kujifungia chumbani kwake sijui utawaambia nini watu?
Kimbelembele chake ndo kinachomponza kila sikuIla daah jamaa kila uzi anao uandika anachezea za uso.
CPA ya mboga2 Okw katika ubora wake.
Hatimaye yametimia.Kwa tabia hizi ndio maana mnazimia uwanjani mnawapa watu shida Bure. Mpira hauna kasi yoyote, timu yenyewe ya daraja la Tano. Mkija kufungwa kwenye ligi msipige kelele
Jamaa ana nuksi. Ngoja nimuite mweKUNDU wa msimbazi mwenzie mchawi mstaafu amuogeshe na chumvi ya mawe. Mshana Jr kuna kazi huku mzee wa Kilingeni Msata.Ila daah jamaa kila uzi anao uandika anachezea za uso.
Vitu vilikuwa wazi mkuu mzee unaenda kukimbizana vijana wapi na wapi nduguAaahaaaaaaaa
Uliona mbali sana
Cheap popularity itakuja ua watu siku mojaKiherehere si kitu cha kuendekeza