Simba SC iuzwe kwa matajiri

Simba SC iuzwe kwa matajiri

kungurumanga

Senior Member
Joined
Sep 4, 2015
Posts
175
Reaction score
44
Sasa imefikia wakati club hii iuzwe kwa tajiri ili wanachama na washabiki tuwe watazamaji.

Wengi wa wanachamani masikini hawachangii chochote nia yao ni kujisogeza kwenye club watafute ridhiki kwa mtindo huu timu itaishia ndondo cup kusajili isifike kokote.Kuondoa mzizi wa fitina timu iwekwe mnadani mwenye pesa ainunue tubaki kuitazama.

Tp Mazembe iliuzwa ipo sawa kwa sasa na hata manchester united ni ya mtu.

Nawasilisha hoja.
 
ni kweli kabisa zote ziuzwe ikiwemo na yanga pia tukifanya hivyo hata timu ya taifa itapatikana nzuri tu
 
wewe mama unaweweseka sana tangia ikulu imepata rais mkatoliki baada ya yule mtu wenu mliemuandaa kukatwa na lazma tb joshua aje kukimbiza mapepo yote mliofuga huko ikulu
 
wewe mama unaweweseka sana tangia ikulu imepata rais mkatoliki baada ya yule mtu wenu mliemuandaa kukatwa na lazma tb joshua aje kukimbiza mapepo yote mliofuga huko ikulu

Kama hauna hoja wacha kuhororoja na kubwabwaja bila mpango.
 
Kuna tatizo kubwa kama watu wanajadili kukabidhi timu kwa tajiri badala ya kujadili namna ya kuifufua timu yao. Huko Ulaya zipo timu zinamilikiwa na mashabiki na zinafanya vema, tusiwe watu wa kusaidiwa kila leo, ni ishara ya unyonge!
 
boss mfano timu gani za ulaya
 
Kwa Simba na Yanga ni majanga zitaishiaga hapohapo kama hazitabinafsishwa!we timu tangu 1934 ipo na haifiki final ya afrika ina maana gani hiyo timu?
 
Simba na yanga ina base kubwa ya mashabiki kuliko tp mazembe lakini hsiwanufaishi,hata uwanja hawana,ziuzwe tu hakuna namna
 
Kuna tatizo kubwa kama watu wanajadili kukabidhi timu kwa tajiri badala ya kujadili namna ya kuifufua timu yao. Huko Ulaya zipo timu zinamilikiwa na mashabiki na zinafanya vema, tusiwe watu wa kusaidiwa kila leo, ni ishara ya unyonge!

Kuna haja ya kubadilisha mfumo wa kuendesha hizi klabu,tumekosa watu ambao wanaweza kuwashawishi wanachama jinsi ya kuendesha klabu kisasa,ile idea ya Dewji ilipaswa iwe "walk up call " viongozi wailete kwa wanachama.Now mashabiki wameifanya ile issue ni personal na wameanza kumshambulia Dewji
 
Back
Top Bottom