kungurumanga
Senior Member
- Sep 4, 2015
- 175
- 44
Sasa imefikia wakati club hii iuzwe kwa tajiri ili wanachama na washabiki tuwe watazamaji.
Wengi wa wanachamani masikini hawachangii chochote nia yao ni kujisogeza kwenye club watafute ridhiki kwa mtindo huu timu itaishia ndondo cup kusajili isifike kokote.Kuondoa mzizi wa fitina timu iwekwe mnadani mwenye pesa ainunue tubaki kuitazama.
Tp Mazembe iliuzwa ipo sawa kwa sasa na hata manchester united ni ya mtu.
Nawasilisha hoja.