Goodwill ya Simba..na jengo ndio 20 Billion wakati jengo tuu ndio gharama yake tafuteni viongozi bora tuu waiinue Simba..Mbona ilikua ni Timu nzuri kabla toka imepenyezwa rupia ya kuhujumu timu ili hii filimbi yenu ya iuzwe ionekana ina nguvu Simba au Yanga ni za wananchi akitaka timu anunue vitimu vidogo huko hata kwa milion 500 atapata...
Wakiuza shares Makoye Matale lazima ninunue za kutosha ili hujuma ya ndani kwa ndani iwe kali zaidi kuliko ilivyo sasa katika mfumo wa kadi.freeland upo sahihi mkifanikiwa Simba itakua nzuri sana tunasubiri mtakapo issue izo shares nani watakaosimamia hayo yote...
Kwanini umemchagua Dewji ? Kama unataka kuiuza kwanini usitumie mnada wa hadhara ili kila kibopa mwanasimba agombanie ?Smba imetutia aibu tunatukanwa sana .Tunazomewa kila kona,viongozi masikini bado wanaitaka.
Ndugu Dewji ichukue na utuondolee kadhia hii. Sisi tunaitaka simba ifanikiwe,hatutaki kwenda club kujadili katiba ya simba. Tumeshindwa kufikiri sahihi juu ya kuiongoza simba.
Tunakuomba Dewji utusaidie kufikri na kuweka fikra zako kwenye plan, plan hiyo ikihitaji fedha toa fedha unazo. Sisi muda mwingi tunapiga mdomo bila fedha matokeo tunadhalilika.
Simba imejaa mamluki watupu wapiga dili wasio na kitu mfukoni. Walionacho ni wachache wenye fedha za kulipia ada watoto zao. Simba inacheza haina hata mchezaj mmoja tishio. Unapokabiliana na simba sawa sawa na kucheza na majimaji au african sport.
Tunataka simba kamili yenye nguvu sio bahatisha bahatisha. Hatutaki kulea vipaji ligi kuu isipokuwa vipaji vikalelewe simba B. Aveva na wenzako kabidhini timu iwekeni sokoni ipigwe mnada.
wa kwanza kuonesha nia lakini si vibaya kawekwa sokoni watu wafanye kushindanishwaKwanini umemchagua Dewji ? Kama unataka kuiuza kwanini usitumie mnada wa hadhara ili kila kibopa mwanasimba agombanie ?
Aveva kajinasibu kuwa pesa ya Okwi tayari iko akauntini, sasa mbona mikia wanalialia kuwa hawana pesa? Pale Simba kuna majipu inabidi yatumbuliwe hata kama mikono ya watumbuaji imejaa usaha wa majibu waliyokwishayatumbua.nimemuona hanspope jana kwenye tv anasema anaidai simba pesa nyingi na si yeye tu wapo wengi wanaoidai na simba kwa sasa haina uwezo wa kulipa hayo madeni. najiuliza maswali yafuatayo:-
- Ni miujiza gani itatumika kwa timu yenye madeni kiasi hicho kuweza kusajili wachezaji wazuri kwa ajili ya ligi ya mwakani?
Je sisi mashabiki wa simba tutegemee mwaka mwingine wa maumivu, kutaniwa, kutukanwa na watani wetu wa jadi?
- Nini sababu wachezaji wazuri kuikacha simba na kwenda kusajiliwa timu nyingine?
- Nini sababu yawachezaji wazuri kugoma kuongeza mikataba pindi inapoisha?
Tusijidanganye kwenye mpira inahitajika uwekezaji mkubwa sana ili mpira uweze kukulipa kupitia kuuza bidhaa zenye nembo ya timu, kuuza wachezaji kwenye timu kubwa, kupata pesa kutokana na haki za tv, kupata pesa nyingi kama zawadi baada ya kushinda mashindano makubwa n.k. Ikifika hapo ndipo timu inaweza kujiendesha yenyewe. Lakini huu uwekezaji mdogo mdogo wa kukopesha timu sijui isajili mchezaji gani au iende songea au sijui ulipe wachezaji mshahara uliochelewa ni kupoteza muda na pesa matokeo yake ni kuiongezea simba madeni ambayo haitoweza kulipa hata miaka kumi ijayo. Simba ni "brand" kubwa inatakiwa mwekezaji mkubwa ambaye ataingiza pesa zake na yeye atafaidika na simba itafaidika.
Iuzwe na nan ? Pesa apewe nan? Pesa hizo zitatumikaje??? Ni ngumu sana maana timu inamilikiwa na wanachama sio individual!!!
Duc In Altum.
Iuzwe na nan ? Pesa apewe nan? Pesa hizo zitatumikaje??? Ni ngumu sana maana timu inamilikiwa na wanachama sio individual!!!
Duc In Altum.
MO mwenyewe yuko nyuma ya hii aibu ya Simba baada ya kukataliwa kuuziwa timu
It is time now serikali ianze kuwafunga wanaoharibu michezo kwa kutoa na kupokea rushwa.... soka la bongo linanuka rushwa ya hali ya juu
Wakiuza shares Makoye Matale lazima ninunue za kutosha ili hujuma ya ndani kwa ndani iwe kali zaidi kuliko ilivyo sasa katika mfumo wa kadi.
Simba ni ya kubaki mchangani tu milele na milele.
Here we go....hakuna kitu kama hicho...acheni kusingizia watu kwa uzembe dhahiri wa Uongozi
Hivi Ni Mo aliyewatuma kusajili kikosi dhaifu
Ni MO aliyewatuma kutokulipa wachezaji mishahara kwa wakati
Ni MO aliyewatuma kutokuwa na wataalamu wa benchi la Ufundi kwa almost msimu mzima....na kumtegemea mayanja peke yake?
Ni MO aliyewatuma kupiga 10 percent?
Ni MO aliyeatuma kula michango ya watu ya kadi za uanachama na kushindwa kutoa kadi miaka mitatu sasa?
Ni Muda mwafaka wa kuacha ubabaishaji kwenye soka...Mfumo wa timu ya simba ubadilishwe
Hii ni dharau kubwa sana kwa timu ya wananchi kama simba , yaani kumbe bila hawa matapeli timu inakufa !Makoye Matale ; Alichosema Hanspope kwenye TV jana ni kuwa hizo pesa za Okwi ni robo tu ya pesa yeye anazodai simba sasa hii ndio hatari ninayoiona huko mbele tuendako kwa klabu kubwa kama simba kuendelea kukopa pesa za watu binafsi. Wakiamua kudai itakuwa shida wakiacha kutoa pesa mifukoni mwao nayo itakuwa shida zaidi.
Smba imetutia aibu tunatukanwa sana .Tunazomewa kila kona,viongozi masikini bado wanaitaka.
Ndugu Dewji ichukue na utuondolee kadhia hii. Sisi tunaitaka simba ifanikiwe,hatutaki kwenda club kujadili katiba ya simba. Tumeshindwa kufikiri sahihi juu ya kuiongoza simba.
Tunakuomba Dewji utusaidie kufikri na kuweka fikra zako kwenye plan, plan hiyo ikihitaji fedha toa fedha unazo. Sisi muda mwingi tunapiga mdomo bila fedha matokeo tunadhalilika.
Simba imejaa mamluki watupu wapiga dili wasio na kitu mfukoni. Walionacho ni wachache wenye fedha za kulipia ada watoto zao. Simba inacheza haina hata mchezaj mmoja tishio. Unapokabiliana na simba sawa sawa na kucheza na majimaji au african sport.
Tunataka simba kamili yenye nguvu sio bahatisha bahatisha. Hatutaki kulea vipaji ligi kuu isipokuwa vipaji vikalelewe simba B. Aveva na wenzako kabidhini timu iwekeni sokoni ipigwe mnada.
Makombe yote 26 yalipatikana chini ya uongozi wa Manji? [emoji23]Yanga bila Manji ni kichekesho. Subiri Manji aondoke tuone akina Mzee Akilimali wakiwavuruga.
ulitaka afanyeje kama MOHere we go....
It didnt take long kujustify the main issue... rushwa
Kuhusu Mo.... I wouldnt want to go into details lakini mnajua role yake kwenye messing up... the very same kids walionekana wanaujua sana mwanzoni lakini baada ya vijana kugawanywa, then likaja lilelile
Hii ni siasa na rushwa kwenye soka na kusema ukweli whatever you commented just confirm it
And sadly, kama Mo aliona hizo shida, alifanya nini kupambana nazo? I think he just picked a side