Simba SC iuzwe kwa tajiri Dewji

Simba SC iuzwe kwa tajiri Dewji

Goodwill ya Simba..na jengo ndio 20 Billion wakati jengo tuu ndio gharama yake tafuteni viongozi bora tuu waiinue Simba..Mbona ilikua ni Timu nzuri kabla toka imepenyezwa rupia ya kuhujumu timu ili hii filimbi yenu ya iuzwe ionekana ina nguvu Simba au Yanga ni za wananchi akitaka timu anunue vitimu vidogo huko hata kwa milion 500 atapata...

kwani 20 Bn ni final price....ishu hapa ni kubadili mfumo na kuuza shares

Share valuation itafanyika...Considering goodwill.....fixed na current assets za timu

Then hizo shares zitakuwa listed na subscriber mwenye share nyingi atakuwa na influence kwenye decisions za timu
 
freeland upo sahihi mkifanikiwa Simba itakua nzuri sana tunasubiri mtakapo issue izo shares nani watakaosimamia hayo yote...
 
Wakiuza shares Makoye Matale lazima ninunue za kutosha ili hujuma ya ndani kwa ndani iwe kali zaidi kuliko ilivyo sasa katika mfumo wa kadi.

Simba ni ya kubaki mchangani tu milele na milele.
 
Smba imetutia aibu tunatukanwa sana .Tunazomewa kila kona,viongozi masikini bado wanaitaka.

Ndugu Dewji ichukue na utuondolee kadhia hii. Sisi tunaitaka simba ifanikiwe,hatutaki kwenda club kujadili katiba ya simba. Tumeshindwa kufikiri sahihi juu ya kuiongoza simba.

Tunakuomba Dewji utusaidie kufikri na kuweka fikra zako kwenye plan, plan hiyo ikihitaji fedha toa fedha unazo. Sisi muda mwingi tunapiga mdomo bila fedha matokeo tunadhalilika.

Simba imejaa mamluki watupu wapiga dili wasio na kitu mfukoni. Walionacho ni wachache wenye fedha za kulipia ada watoto zao. Simba inacheza haina hata mchezaj mmoja tishio. Unapokabiliana na simba sawa sawa na kucheza na majimaji au african sport.

Tunataka simba kamili yenye nguvu sio bahatisha bahatisha. Hatutaki kulea vipaji ligi kuu isipokuwa vipaji vikalelewe simba B. Aveva na wenzako kabidhini timu iwekeni sokoni ipigwe mnada.
Kwanini umemchagua Dewji ? Kama unataka kuiuza kwanini usitumie mnada wa hadhara ili kila kibopa mwanasimba agombanie ?
 
nimemuona hanspope jana kwenye tv anasema anaidai simba pesa nyingi na si yeye tu wapo wengi wanaoidai na simba kwa sasa haina uwezo wa kulipa hayo madeni. najiuliza maswali yafuatayo:-
- Ni miujiza gani itatumika kwa timu yenye madeni kiasi hicho kuweza kusajili wachezaji wazuri kwa ajili ya ligi ya mwakani?
Je sisi mashabiki wa simba tutegemee mwaka mwingine wa maumivu, kutaniwa, kutukanwa na watani wetu wa jadi?
- Nini sababu wachezaji wazuri kuikacha simba na kwenda kusajiliwa timu nyingine?
- Nini sababu yawachezaji wazuri kugoma kuongeza mikataba pindi inapoisha?

Tusijidanganye kwenye mpira inahitajika uwekezaji mkubwa sana ili mpira uweze kukulipa kupitia kuuza bidhaa zenye nembo ya timu, kuuza wachezaji kwenye timu kubwa, kupata pesa kutokana na haki za tv, kupata pesa nyingi kama zawadi baada ya kushinda mashindano makubwa n.k. Ikifika hapo ndipo timu inaweza kujiendesha yenyewe. Lakini huu uwekezaji mdogo mdogo wa kukopesha timu sijui isajili mchezaji gani au iende songea au sijui ulipe wachezaji mshahara uliochelewa ni kupoteza muda na pesa matokeo yake ni kuiongezea simba madeni ambayo haitoweza kulipa hata miaka kumi ijayo. Simba ni "brand" kubwa inatakiwa mwekezaji mkubwa ambaye ataingiza pesa zake na yeye atafaidika na simba itafaidika.
 
Aveva kajinasibu kuwa pesa ya Okwi tayari iko akauntini, sasa mbona mikia wanalialia kuwa hawana pesa? Pale Simba kuna majipu inabidi yatumbuliwe hata kama mikono ya watumbuaji imejaa usaha wa majibu waliyokwishayatumbua.
 
Iuzwe na nan ? Pesa apewe nan? Pesa hizo zitatumikaje??? Ni ngumu sana maana timu inamilikiwa na wanachama sio individual!!!

Duc In Altum.

Usiwe na hofu.......

Kinachofanyika ni kuwa inaanzishwa kampuni na share capital say ya hisa 10,000,000 ambazo zitakuwa assigned value say ya sh 10,000 kwa share. Wanachama wote hai watapewa hisa 5,100,000 ambazo watagawana sawa na hawapaswi kuzilipia. Mwekezaji anapewa hisa 4,900,000 pesa ambazo atazilipia na zinaingia katika vitabu vya club. Hii ini capital injection ya sh 49,000,000,000.....simple like ABC
 
Iuzwe na nan ? Pesa apewe nan? Pesa hizo zitatumikaje??? Ni ngumu sana maana timu inamilikiwa na wanachama sio individual!!!

Duc In Altum.

Ilivyouzwa Man city au Chelsie fedha alipewa nani.

Huo ni uwekezaji,hela zitatumika kwenye kwenye kununua wachezaji wakubwa kulingana na hadhi ya club ya Simba na ujenzi wa uwanja.
 
MO mwenyewe yuko nyuma ya hii aibu ya Simba baada ya kukataliwa kuuziwa timu

It is time now serikali ianze kuwafunga wanaoharibu michezo kwa kutoa na kupokea rushwa.... soka la bongo linanuka rushwa ya hali ya juu
 
Makoye Matale ; Alichosema Hanspope kwenye TV jana ni kuwa hizo pesa za Okwi ni robo tu ya pesa yeye anazodai simba sasa hii ndio hatari ninayoiona huko mbele tuendako kwa klabu kubwa kama simba kuendelea kukopa pesa za watu binafsi. Wakiamua kudai itakuwa shida wakiacha kutoa pesa mifukoni mwao nayo itakuwa shida zaidi.
 
hakuna kitu kama hicho...acheni kusingizia watu kwa uzembe dhahiri wa Uongozi

Hivi Ni Mo aliyewatuma kusajili kikosi dhaifu

Ni MO aliyewatuma kutokulipa wachezaji mishahara kwa wakati

Ni MO aliyewatuma kutokuwa na wataalamu wa benchi la Ufundi kwa almost msimu mzima....na kumtegemea mayanja peke yake?

Ni MO aliyewatuma kupiga 10 percent?

Ni MO aliyeatuma kula michango ya watu ya kadi za uanachama na kushindwa kutoa kadi miaka mitatu sasa?

Ni Muda mwafaka wa kuacha ubabaishaji kwenye soka...Mfumo wa timu ya simba ubadilishwe
 
Wakiuza shares Makoye Matale lazima ninunue za kutosha ili hujuma ya ndani kwa ndani iwe kali zaidi kuliko ilivyo sasa katika mfumo wa kadi.

Simba ni ya kubaki mchangani tu milele na milele.

Unadhani share zinauzwa tu kibudu...tehteh

49% kwa majority shareholder mmoja tu

51% kwa members.....ambapo itakuwa by default hakuna haya ya subscriptions
 
hakuna kitu kama hicho...acheni kusingizia watu kwa uzembe dhahiri wa Uongozi

Hivi Ni Mo aliyewatuma kusajili kikosi dhaifu

Ni MO aliyewatuma kutokulipa wachezaji mishahara kwa wakati

Ni MO aliyewatuma kutokuwa na wataalamu wa benchi la Ufundi kwa almost msimu mzima....na kumtegemea mayanja peke yake?

Ni MO aliyewatuma kupiga 10 percent?

Ni MO aliyeatuma kula michango ya watu ya kadi za uanachama na kushindwa kutoa kadi miaka mitatu sasa?

Ni Muda mwafaka wa kuacha ubabaishaji kwenye soka...Mfumo wa timu ya simba ubadilishw
e
Here we go....

It didnt take long kujustify the main issue... rushwa

Kuhusu Mo.... I wouldnt want to go into details lakini mnajua role yake kwenye messing up... the very same kids walionekana wanaujua sana mwanzoni lakini baada ya vijana kugawanywa, then likaja lilelile

Hii ni siasa na rushwa kwenye soka na kusema ukweli whatever you commented just confirm it

And sadly, kama Mo aliona hizo shida, alifanya nini kupambana nazo? I think he just picked a side
 
Makoye Matale ; Alichosema Hanspope kwenye TV jana ni kuwa hizo pesa za Okwi ni robo tu ya pesa yeye anazodai simba sasa hii ndio hatari ninayoiona huko mbele tuendako kwa klabu kubwa kama simba kuendelea kukopa pesa za watu binafsi. Wakiamua kudai itakuwa shida wakiacha kutoa pesa mifukoni mwao nayo itakuwa shida zaidi.
Hii ni dharau kubwa sana kwa timu ya wananchi kama simba , yaani kumbe bila hawa matapeli timu inakufa !
 
Smba imetutia aibu tunatukanwa sana .Tunazomewa kila kona,viongozi masikini bado wanaitaka.

Ndugu Dewji ichukue na utuondolee kadhia hii. Sisi tunaitaka simba ifanikiwe,hatutaki kwenda club kujadili katiba ya simba. Tumeshindwa kufikiri sahihi juu ya kuiongoza simba.

Tunakuomba Dewji utusaidie kufikri na kuweka fikra zako kwenye plan, plan hiyo ikihitaji fedha toa fedha unazo. Sisi muda mwingi tunapiga mdomo bila fedha matokeo tunadhalilika.

Simba imejaa mamluki watupu wapiga dili wasio na kitu mfukoni. Walionacho ni wachache wenye fedha za kulipia ada watoto zao. Simba inacheza haina hata mchezaj mmoja tishio. Unapokabiliana na simba sawa sawa na kucheza na majimaji au african sport.

Tunataka simba kamili yenye nguvu sio bahatisha bahatisha. Hatutaki kulea vipaji ligi kuu isipokuwa vipaji vikalelewe simba B. Aveva na wenzako kabidhini timu iwekeni sokoni ipigwe mnada.

Nyie ndio mashabiki Maandazi ambao hata kadi hamna mnakuja mitandaoni kupiga kelele eti simba iuzwe. Kwanza unamjua mmiliki wa Simba SC ni nani? . Simba ni mali ya wanachama hivyo kuuzwa ni swala ambalo haliwezekani. Pia mtumie akili si kila tajiri anayetaka Timu basi yupo tayari kuleta maendeleo wengine wanawahitaji kwa ajili ya Fanbase yenu ili wawatumie katika biashara zao kama marketing tool.

Kuleta Maendeleo si lazima ainunue timu kuna njia nyingi sana angeweza kuzitumia. angeweka mapenzi mbele zaidi ya kutafuta profit ya biashara zake kwa kutaka kuwatumia nyie mavyura FC kama mabango ya Matangazo.

Angejifunza kutoka kwa Manji. Ni Mpenda Michezo na Timu ya Yanga iko Moyoni mwake. Pamoja na kuwa na Hela nyingi kumshinda huyo MO hakutaka kuinunua yanga wala kuitumia katika biashara zake. Alijua kuwa Yanga kwa kipindi kile ilikuwa na migogoro kutokana na uongozi mbaya hivyo akaamua kuinusuru kwa kugombea uenyekiti kama mwanachama wa kawaida. Maendeleo tuliyonayo leo ni Mapenzi ya dhati aliyonayo Manji na viongozi wenzake kwa timu yetu. Kwa kipindi cha uongozi wake aliua kabisa nguvu za wazee wa yanga kina akili mali na kuwaunganisha wanachama na makundi yote yaliyokuwa yanatofautiana. Bila umoja hamtafika kokote na hicho ndicho alichotakiwa kukifikiria kwanza MO kama kweli anaitaka Timu.

Simba ya sasahivi imegawika kama ilivyokuwa Yanga enzi zile. Mna makundi ambayo hayana kichwa wala miguu. kila mtu anasajili wachezaji wake na wachezaji wanacheza kutokana na Matakwa ya Mabwana zao. Mlichotakiwa kukifanya sasahivi ili kuinusuru timu yenu ni kujitahidi kujenga umoja kwanza miongoni mwa wanachama wote wa Matopeni, Timu iendeshwe kisasa kama vile kuwa na kamati ya usajili ambayo itakuwa inaeleweka na sio kuacha kila mtu ajipe hilo jukumu mwisho mnahujumiana wenyewe kwa wenyewe, wanachama waelewe haki zao kuwa wao ndio wenye timu na sio kina aveva, huyo rais yupo pale kwa niaba yenu na mda wowote mna nguvu ya kumuondoa. Vunjeni makundi yote na muwe kitu kimoja ikiwa ni pamoja na kufanya maamuzi magumu ya kuwatimua kina Kaburu, hanspope na Magori kwenye timu yenu.

Nguvu mnazo na uwezo mnao, hakikisheni kila kilichotajwa kwenye katiba yenu kina tekelezwa na hilo jukumu msimuachie Bi. Hindu peke yake liwe jukumu la Mambumbumbu wote.

Mimi kama mwanachama wa Yanga nawatakia mafanikio mema katika haya majaribu mnayopitia. Ila Mwambieni MO kama kweli ana uchungu na Simba ailetee Mafanikio akiwa kama Mwanachama wa Kawaida na sio Kama Mmiliki. Kama Mbinu hana aseme tumuunganishe na Jemedari Yusuph Manji ampe Mbinu za Kivita.
 
Here we go....

It didnt take long kujustify the main issue... rushwa

Kuhusu Mo.... I wouldnt want to go into details lakini mnajua role yake kwenye messing up... the very same kids walionekana wanaujua sana mwanzoni lakini baada ya vijana kugawanywa, then likaja lilelile

Hii ni siasa na rushwa kwenye soka na kusema ukweli whatever you commented just confirm it

And sadly, kama Mo aliona hizo shida, alifanya nini kupambana nazo? I think he just picked a side
ulitaka afanyeje kama MO

Ulitaka aingie k wenye siasa za kipuuzi za simba

then utofauti wake ungekuwa ipi

tuipende ku shift blame kwa watu w engine katika Makosa yetu wenyewe
 
Back
Top Bottom