Freeland
JF-Expert Member
- Jan 24, 2012
- 14,481
- 10,227
Goodwill ya Simba..na jengo ndio 20 Billion wakati jengo tuu ndio gharama yake tafuteni viongozi bora tuu waiinue Simba..Mbona ilikua ni Timu nzuri kabla toka imepenyezwa rupia ya kuhujumu timu ili hii filimbi yenu ya iuzwe ionekana ina nguvu Simba au Yanga ni za wananchi akitaka timu anunue vitimu vidogo huko hata kwa milion 500 atapata...
kwani 20 Bn ni final price....ishu hapa ni kubadili mfumo na kuuza shares
Share valuation itafanyika...Considering goodwill.....fixed na current assets za timu
Then hizo shares zitakuwa listed na subscriber mwenye share nyingi atakuwa na influence kwenye decisions za timu