GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
1. Mruhusuni aje na Wasaidizi wake na siyo atakaowakuta.
2. Mkitaka asaidiwe na Mzawa mtafutieni Mtu tofauti na Mgunda na Matola.
3. Maamuzi yote ya Kiufundi ndani ya Klabu yetu aachiwe Yeye na asiingiliwe kamwe.
4. Matola apelekwe Timu ya Vijana Simba B akahangaike nayo huko.
5. Ikiwapendeza Mgunda awe Mkurugenzi wa Ufundi wa Simba SC au apewe Timu ya Wanawake Simba Queens akafundishe.
6. Musa Mgosi asipandishwe Timu ya Wakubwa na kuwa sehemu ya Benchi la Ufundi.
7. Ili kuanza vyema na huyu Kocha Mkuu Mpya Mbrazil Roberto Oliviera fanyeni Maamuzi magumu katika Kikosi cha Simba SC na hasa hasa katika Benchi la Ufundi.
Nawajua Mgunda na Matola ni Waswahili Waswahili mno na wataungana ili Kumvuruga na Kumvurugia Kocha Mkuu huyu Mpya na hatimaye Timu haitopata Matokeo na tutamfukuza Jambo ambao Kwao Mgunda na Matola litakuwa ni Furaha.
Watanzania tunajuana na Sisi Watu wa Mpira (hasa huu wa Tanzania tunajuana) hivyo ukiona GENTAMYCINE namkataa Mgunda na Matola kuwa Wasaidizi wa huyu Kocha Mkuu Mpya Mbrazil Roberto Oliviera jua (jueni) kuwa namaanisha.
Mkinipuuza huko mbeleni mtakuja Kunikumbuka kwani Sisi Wengine Mwenyezi Mungu katubariki na Maono Makubwa na Makali hivyo yazingatieni. Yote haya kwa Faida ya Simba SC yetu.