Smart AJ
JF-Expert Member
- Mar 21, 2022
- 5,564
- 5,884
Ana mpira wa kasi sana yule kocha waulize yanga wanamjua siku ya mwanachi aliwalisha ugali badala ya biriani.
Sasa mkuu pale kasi iko wapi??wale jamaa wanakabaga wote hadii strikers,ndo mana mazembe akapasuka kwao