Simba SC kama mnamleta Kocha Mkuu Mbrazil Roberto Oliviera nashauri yafuatayo na myazingatie kiumakini

Roho ya kimaskini, chuki binafsi kwa Matola na Mgunda vimekujaa, yani kwako kwa watanzania kutolewa kazini ndio raha yako, kumbuka wao pia maisha yao yanategemea hicho wanachofanya, je ingekuwa wewe ingekuwaje, acha roho ya husda waache watanzania wenzetu wapate
Ni mjinga Sana huyu rfk angu

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Asante japo najua kwa hii Post yako na hii Credit yako Kwangu akina ukikaidi utapigwa2, Tate Mkuu na OKW BOBAN SUNZU watanuna mno tu kwani ndiyo Vinara wa Kunichukia GENTAMYCINE na Kunionea Kijicho / Gere kwa Ushindi na Umaarufu wangu mkubwa na Uliotukuka hapa JamiiForums.

Tegemea kuanzia sasa Kuambiwa kuwa hii ID yako ni Mimi GENTAMYCINE Mwenyewe na hapa nimeandika kwa ID yako ( nyingine ) ili Kujisifia na kutafuta Sifa.

Mimi ndiyo GENTAMYCINE The King!!!!
The [emoji238]

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Huyu kocha tumkishindwa basi sisi Simba ndio wenye shida. Kocha ana rekodi kubwa ya soka la Afrika na hana rekodi ya kufukuzwa kwa matokeo mabaya zaidi ya dau kumuondoa. Tumtumie hata misimu 3 tutakuwa na timu imara

Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app
 
Roho ya kimaskini, chuki binafsi kwa Matola na Mgunda vimekujaa, yani kwako kwa watanzania kutolewa kazini ndio raha yako, kumbuka wao pia maisha yao yanategemea hicho wanachofanya, je ingekuwa wewe ingekuwaje, acha roho ya husda waache watanzania wenzetu wapate
Hapa tunaangalia mstakabali wa club, sio maslahi ya matola na mgunda, elewa hilo mzee.
 
1. Mruhusuni aje na Wasaidizi wake na siyo atakaowakuta.

2. Mkitaka asaidiwe na Mzawa mtafutieni Mtu tofauti na Mgunda na Matola.

3. Maamuzi yote ya Kiufundi ndani ya Klabu yetu aachiwe Yeye na asiingiliwe kamwe.

4. Matola apelekwe Timu ya Vijana Simba B akahangaike nayo huko.

5. Ikiwapendeza Mgunda awe Mkurugenzi wa Ufundi wa Simba SC au apewe Timu ya Wanawake Simba Queens akafundishe.

6. Musa Mgosi asipandishwe Timu ya Wakubwa na kuwa sehemu ya Benchi la Ufundi.

7. Ili kuanza vyema na huyu Kocha Mkuu Mpya Mbrazil Roberto Oliviera fanyeni Maamuzi magumu katika Kikosi cha Simba SC na hasa hasa katika Benchi la Ufundi.

Nawajua Mgunda na Matola ni Waswahili Waswahili mno na wataungana ili Kumvuruga na Kumvurugia Kocha Mkuu huyu Mpya na hatimaye Timu haitopata Matokeo na tutamfukuza Jambo ambao Kwao Mgunda na Matola litakuwa ni Furaha.

Watanzania tunajuana na Sisi Watu wa Mpira (hasa huu wa Tanzania tunajuana) hivyo ukiona GENTAMYCINE namkataa Mgunda na Matola kuwa Wasaidizi wa huyu Kocha Mkuu Mpya Mbrazil Roberto Oliviera jua (jueni) kuwa namaanisha.

Mkinipuuza huko mbeleni mtakuja Kunikumbuka kwani Sisi Wengine Mwenyezi Mungu katubariki na Maono Makubwa na Makali hivyo yazingatieni. Yote haya kwa Faida ya Simba SC yetu.
Leo nakuunga mkono mkuu. Umetema madini.
 
Huyu kocha tumkishindwa basi sisi Simba ndio wenye shida. Kocha ana rekodi kubwa ya soka la Afrika na hana rekodi ya kufukuzwa kwa matokeo mabaya zaidi ya dau kumuondoa. Tumtumie hata misimu 3 tutakuwa na timu imara

Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app
Kwa hiyo hao wengine waliofukuzwa walikuwa hawana rekodi kubwa ya soka la Afrika!
 
Me sijui Simba wanahangaika na nn, me naona Mgunda anatosha kabisa maana ball linatembea kweli na team inapata ushindi na magoli ya kutosha yanafungwa.

Tunaleta kocha mpya ambaye team haijui aanze tena kujaribu wachezaji mara huyu mara yule tukija stuka msimu umeisha na hakuna tulichopata.

Nikikumbuka yule Zoran alivyotaka kutuulia team yetu mara anasema sijui Chama mzito, Phiri siyo striker mzuri, onyango si beki akatuletea magarasa yake hapa wakina Dejan na Quatarra nakosa imani kabisa na hawa wazungu.

Wangemuamini Mgunda ameonyesha anaweza na team cohesion ilimeshakaa vizuri
Nadhani bado ngozi nyeusi haiaminiki na weusi wenyewe.
 
1. Mruhusuni aje na Wasaidizi wake na siyo atakaowakuta.

2. Mkitaka asaidiwe na Mzawa mtafutieni Mtu tofauti na Mgunda na Matola.

3. Maamuzi yote ya Kiufundi ndani ya Klabu yetu aachiwe Yeye na asiingiliwe kamwe.

4. Matola apelekwe Timu ya Vijana Simba B akahangaike nayo huko.

5. Ikiwapendeza Mgunda awe Mkurugenzi wa Ufundi wa Simba SC au apewe Timu ya Wanawake Simba Queens akafundishe.

6. Musa Mgosi asipandishwe Timu ya Wakubwa na kuwa sehemu ya Benchi la Ufundi.

7. Ili kuanza vyema na huyu Kocha Mkuu Mpya Mbrazil Roberto Oliviera fanyeni Maamuzi magumu katika Kikosi cha Simba SC na hasa hasa katika Benchi la Ufundi.

Nawajua Mgunda na Matola ni Waswahili Waswahili mno na wataungana ili Kumvuruga na Kumvurugia Kocha Mkuu huyu Mpya na hatimaye Timu haitopata Matokeo na tutamfukuza Jambo ambao Kwao Mgunda na Matola litakuwa ni Furaha.

Watanzania tunajuana na Sisi Watu wa Mpira (hasa huu wa Tanzania tunajuana) hivyo ukiona GENTAMYCINE namkataa Mgunda na Matola kuwa Wasaidizi wa huyu Kocha Mkuu Mpya Mbrazil Roberto Oliviera jua (jueni) kuwa namaanisha.

Mkinipuuza huko mbeleni mtakuja Kunikumbuka kwani Sisi Wengine Mwenyezi Mungu katubariki na Maono Makubwa na Makali hivyo yazingatieni. Yote haya kwa Faida ya Simba SC yetu.
😂😂
 
Back
Top Bottom