OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Mungu akupe maisha marefu Mo Dewji, Bodi ya Simba, CEO Barbara, Mwamba Haji Manara.
Mungu awape maisha marefu na ufanisi technical bench.
Mungu awaongezee umaridadi wachezaji wooote first eleven, wanaokaa bench na wanaobaki majukwaani.
Mnafanya kazi nzuri kutuba burudani washabiki. Mnatufikisha kileleni 🤣🤣. Wengine sisi hatuna starehe zaidi ya Simba Sc. Hatunywi hutukuti night club ila utatukuta kibanda umiza tunabishania Simba Sc.
Simba ni kiwanda kikubwa cha kuchakata burudani Tanzania,kimekuwa na penetration strategy nzuri katika market ya Afrika sasa kinatafuta kujikita kwenye peak ya kati ya club 5 kubwa Afrika. Tukipe sapoti
Asanteni