Simba SC, klabu iliyozaliwa na Yanga SC

Nyenyere

JF-Expert Member
Joined
Sep 9, 2010
Posts
14,804
Reaction score
10,715
Ukisoma gazeti la mwanaspoti la leo mama Karume anafafanua jinsi mgogoro ndani ya Yanga ulivyopelekea kujitenga kwa baadhi ya wanachama na kuanzisha Sunderland mwaka 1936. Kisha kuitwa Simba hapo baadaye. Kweli Yanga ni baba wa soka la Tanzania.

UPDATES:

Kwa habari zaidi soma;
http://www.mwanaspoti.co.tz/Soka/-/1799484/2144144/-/item/1/-/12344m8/-/index.html
 
Hivi kwanini mliogopa kushiriki Kombe la Mapinduzi?
 
Kwa miaka mitatu mfululizo Bwashehe?

No, unajua Yanga wanaenda kwa program. Sasa hiyo mapinduzi cup huwa haimo kwenye program zao. Kwa hali hiyo si rahisi kushiriki kwa timu inayozingatia mpangilio wa mafunzo iliyojiwekea.
 
Hivi kwanini mliogopa kushiriki Kombe la Mapinduzi?

Yanga hatukuogopa kushiriki isipokuwa Simba wasio na akili kama Wagalatia wanadhani kwamba eti tuliogopa kushiriki. Kwa Simba mapinduzi ni nafasi yao ya mwisho, Yanga tuna majukumu ya CECAFA na CAF.
 
Ukisoma gazeti la mwanaspoti la leo mama Karume anafafanua jinsi mgogoro ndani ya Yanga ulivyopelekea kujitenga kwa baadhi ya wanachama na kuanzisha Sunderland mwaka 1936. Kisha kuitwa Simba hapo baadaye. Kweli Yanga ni baba wa soka la Tanzania.

Kama YANGA ni Mama wa SIMBA Baba yake nani???

Achana na porojo hizo wewe..... angetuambia Kabla ya Simba mpinzani halisi wa YANGA alikuwa nani..? na kama hakuwepo YANGA ilikuwa inacheza mpira peke yake?
 
Nyuma mbona mlikuwa mnakubali kugawa? Mechi ya mwisho ya Fainali ya Mapinduzi mlipofungwa na Simba...ndo mkaamua Kususa sio?
Hamjui kuwa Ushindi wetu wa leo hautanoga?
 
Wangepeleka timu tu... Jangwani ilikuwa vipande vipande maana wasingeachwa... kama si 5 ingekuwa 8...
 
Yanga hatukuogopa kushiriki isipokuwa Simba wasio na akili kama Wagalatia wanadhani kwamba eti tuliogopa kushiriki. Kwa Simba mapinduzi ni nafasi yao ya mwisho, Yanga tuna mjukumu ya CECAFA na CAF.

Mzee Akilimali aliwakataza eti?
 
Mzee Akilimali aliwakataza eti?

Ee Mwenyezi Mungu hadi lini utaruhusu hawa jamaa waendelee kututukana na kukebehi timu yetu? Walikuwa kimya muda mrefu, wameibuka baada ya mtani jembe. Dua yangu kwako ni kuruhusu KCC wapate goli moja tu jioni hii ili kumaliza hizi kelele, asante Bwana kuwa umesikia dua ya mtumishi wako Makoye Matale, amina.
 
Last edited by a moderator:

hiyo dua iombee yanga leo wanacheza na tax drivers wa uturuki
 
Last edited by a moderator:
Kama YANGA ni Mama wa SIMBA Baba yake nani???

Achana na porojo hizo wewe..... angetuambia Kabla ya Simba mpinzani halisi wa YANGA alikuwa nani..? na kama hakuwepo YANGA ilikuwa inacheza mpira peke yake?

Soma historia kijana, unadhani watu walikaa tu chini wakapanga kuanzisha Yanga na Simba ili ziwe pinzani? Simba ni mtoto aliyemwasi mzazi wake. Ndio maana tunawachukulia kama watoto tu na hoja zenu za ajabu ajabu. Mzazi ni mzazi tu.
 
hebu nipe historia yanga ilianzishwa mwaka gani na simba ilianzishwa mwaka gani,yaani historia toka wakati wa ukoloni.
 
hebu nipe historia yanga ilianzishwa mwaka gani na simba ilianzishwa mwaka gani,yaani historia toka wakati wa ukoloni.

Ya Simba ipo tayari hapo juu 1936. Umeiona?
 
nimeiona basi nipe ya Yanga.

Ok. Yanga ilianzishwa mapema mwaka 1935. Mwaka mmoja baadaye kukatokea mgogoro ndani ya klabu na ndipo Simba ikajimega 1936
 
Ok. Yanga ilianzishwa mapema mwaka 1935. Mwaka mmoja baadaye kukatokea mgogoro ndani ya klabu na ndipo Simba ikajimega 1936

nipe source ya kuaminika!

kwahiyo inaonyesha upinzani wao umenzia baada wengine kusaliti na kujitoa?au upinzani wa jadi ulikuja kutokea baadaye sana
 
duuh ile dozi ya goli 5 bado inawasumbua Ndala....polen sana na harakati zetu za kutafuta hauwen
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…