Simba SC Kocha Amunike ametubipu sasa Sisi tumpigie kwa style hii ili ajue kwamba Simba SC ni zaidi ya Yeye Wakuja na Mshamba tu!

Hizi pumba zote zako

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pyuuuuuuuuuuuuuuuuuu..........................
 
In Haji Manara's voice.
 
tuache usimba na U ngaya miaka zaidi ya sabini hatuna hata viwanja vya mazoezi kwa mahaba haya ya kipumbavu
 
Hakuna kocha hapo.Ni mwanzo wa mwisho wa enzi.
Yeye hakuwahi kuchelewa na alifanywaje? Tujielekeze kwenye kanuni na sheria zinasemaje juu ya muda wa mchezaji kiripoti kambini.
 
Uwezo ndio unacheza mpira sio nidhamu pekee!
Laiti ingekuwa nidhamu tungewatumia waliolazwa ward ya mortuary.
unamjua joe barton

unajua uwezo wake,unajua nidhamu yake

unaongea mambo yanayokuzid umri
 
unamjua joe barton

unajua uwezo wake,unajua nidhamu yake

unaongea mambo yanayokuzid umri
Kobe ndio mwenye nidhamu iliyotukuka! Usiwe na hulka karirifu.
 
Biila shaka!! wewe ni mbumbumbu na ni shabiki wa simba sc uchwara......(shabiki anaejielewa hawezi kuongea uozo kama huu tena public kama hapa)

Nikukumbushe tu liapokuja suala la timu ya taifa hautakiwi tena kuzungumzia huyu ni wa simba au huyu ni wa yanga au wa timu yoyote.Manuala,kichuya bocco wenzao wote wanapokuwa kwenye majukumu ya taifa wale sio wa yanga wala sio wa simba ni wataifa stars

Watu kama wewe ndio wanaishangilia magoli eanayofunga wachezaji wa simba na kuzomea magoli wanayofungwa na wachezaji wenyewe

Mashabiki wa simba mnauleta mpasuko ambao unaenda Ku cost timu yetu ya taifa ,nilicho tegemea kutoka kwa mashabiki ni kushirikiana na viongozi wa tff na kocha wa taifa star kuhakikisha hawa wachezaji wanajutia kwa namna moja au nyingine kwa kuchelewa kambini ili wawe na nidhami hata wanaporudi kwenye vilabu vyao.

Watu kama wewe wapo wengi sana ndio maana timu yetu haipandi viwango FIFA ni watu ambao ni wavivu sana kufikiria na huwa mnaweka ushabiki usio na manufaa kwa taifa .

Hata ukushangilia Uganda hakuna utakacho nufaika nacho na wala hautakuwa umebadilisha ukweli kwamba hao wachezaji unao washabikia hawapo kwenye kikosi chetu teule cha taifa stars wala hauta fanya soka la Tanzania kukua.Sana sana Utajidharaulisha na kudharaulisha taifa kwa ujumla

Nchi z Africa mashariki zinadharau sana watanzania especially Kenya na hii ndio sababu kubwa,huwa tuna ongozwa na mihemko kuliko akili

Hauwezi kwenda Uganda au Kenya ukakuta wanashangilia Tanzania hata siku moja wanajari cha kwao kwa namna yoyote ile....

Nimelize kwa kusema wewe ni mbumbumbu na mbumbumbu Ni wewe ......

Sent using Jamii Forums mobile app
 
utakua na mtindio wa ubongo ww
 
Sidhan kama hao kina Mkude, Kicheza, Bocco nko wamelisaidia taifa kiasi cha kuwanyenyekea kwa utovu wa nidhamu,
Ni hao hao waliotolewa na Rwanda kufuzu CHAN pia ikumbukwe walivurunda sana kule Kenya na kututia aibu, ingewezekana kocha achague vijana wasio na majina uchwara ya hii lini yetu maana hata kusaidia klabu zao zifike mbali kama vijana wa mataifa mengine ni shida!!
Kila siku kusifiwa kwenye magazeti ya dimba na mwanaspoti tofauti kabisa na uwezo wao viwanjani. Nitaiheshimu ligi yetu pale itakapotoa timu za kumenyana na Akina Tp Mazembe nk tofauti na hapo nawaona wanajifurahisha tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…