Ameshaanza kuonyesha Chuki za wazi kabisa kwa Wachezaji wa Simba SC na hakuna asiyejua kwamba huyu Kocha pia ana mahaba mno na ya Rangi za Njano na Kijani na anajulikana tokea huko Kwao kwa Matapeli wa Afrika kama siyo dunia kwamba anachukia mno Rangi Nyekundu na Nyeupe kutokana na Imani zake za Kipuuzi.
Kwakuwa Tapeli Amunike ameanza sasa Sisi wana Simba SC tufanye haya upesi ili ajue kwamba Tanzania hii yetu bila Simba SC bado haijakamilika:
1. Tugomee kwenda Taifa kuangalia mpira
2. Na ikitokea tukaenda basi dakika zote 90 tuizomee Taifa Stars na kuishangilia Timu ngeni
3. Ikiwezekana tumtafutie Mganga wa Kienyeji mahiri amroge hadi aione Tanzania chungu na akimbie
4. Na ikitokea akaita tena Wachezaji wa Simba SC basi wajitahidi wawe wanazitafuta Kadi Nyekundu kwa makusudi ili Kuihujumu Timu ili achukiwe na afukuzwe upesi
5. Kuanzia leo tutangaze rasmi kuwa Adui namba moja wa Simba SC ni Tapeli Amunike kutoka Nigeria
Atatutambua Simba SC!
[emoji706] [emoji706] [emoji706] [emoji706] Tanzania ni kubwa kuliko usimba
Sent using Jamii Forums mobile app