Simba SC Kocha Amunike ametubipu sasa Sisi tumpigie kwa style hii ili ajue kwamba Simba SC ni zaidi ya Yeye Wakuja na Mshamba tu!


[emoji706] [emoji706] [emoji706] [emoji706] Tanzania ni kubwa kuliko usimba

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kimsingi Amunike ametugawa! Hatapata mafanikio na ataondoka kwa aibu! Pengine asishinde mechi hata moja.
Naona TFF watafanya kitu kuweka sawa hali ya hewa
 
Mimi ni mshabiki wa Simba ila naona kama hujaandika kitu kizuri.

Mwisho wa siku wote sisi ni Watanzania na Stars ni team yetu bila kujali ni Simba au Yanga. Cha muhimu ni wachezaji kuwa na discipline ili kuepusha masuala kama haya kutokea.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nikifikia ujinga huu naomba nihukumiwe kifungo cha maisha gerezani

Sent using Jamii Forums mobile app
Ata kama mi ni zero lakini siku ukiniona niko negative zero kufikia Akili hii ya mtoa mada naomba ndugu yangu @Hazad_Cfc: umtafute sniper anidungue kama ni pesa ya malipo njoo dai kwenye msiba wangu waambie marehemu alitamka .

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mpumbavu Manura ni Nani hao wanajiona ma superstar wakati umri usha watupa mkono kwani bila hao mpira hauta cheza nyie ndo mmemchongea Mayanga ikiwa kapata Jina kubwa ukanda wa kusini mwa Africa eti hajamuita mkude hao na wewe mtoa Mada wapuuzi adabu hamna taifa kwanza usimba na u Yanga pelaka kwenu

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Heeeeee yamekuwa hayo tena???!!!
 
Haji Manara alisema mashabiki wengi Wa Simba hawajui mpira bali wamejazana tu kwenye magroup ya wasap wanaongea ujinga tu kuhusu mpira
 
We shabiki ni mbumbumbu kwelikweli. Tatizo la mashabiki wengi wa simba ni waropokaji. Stars hawakuwa na mashabiki wengi uganda mbona wametoka suluhu. Achana na ufinyu wa mawazo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…