We ambaye huchezi faulo, mbona umekwama? Kulikoni? Tuanzie hapo kwanza..!Wenzako wote waliofika group stages msimu uliopita wamerudi tena group stages, wewe tu umeishia preliminary stages, hii inadhihisha na kuthibitisha u underdog wako, kumbe yaliyokuwa yanasemwa kwamba mechi za home ulikuwa unacheza faulu nje ya uwanja ni kweli, sasa ukakutana na kiboko yako Du-songo akakufanya huna hamu mkuu.
Lazima tuilipe ile ya Mashujaa 😀😀😀Kulitaka Mwana..Kulipewa Mwana
Kila la heri Mnyama Mkali Mwituni, SimbaNguvuMoja
Kwahivyo ikialikwa UD Songo itakuwa sababu ya CAF..!
Na hiyo Black Eagles nayo? Acheni kuteseka Simba SC hii mtasaga meno [emoji23]
Kuna ule usemi usemao bahati huwa haiji mara mbili na ndio kilichotokea kwao.Wenzako wote waliofika group stages msimu uliopita wamerudi tena group stages, wewe tu umeishia preliminary stages, hii inadhihisha na kuthibitisha u underdog wako, kumbe yaliyokuwa yanasemwa kwamba mechi za home ulikuwa unacheza faulu nje ya uwanja ni kweli, sasa ukakutana na kiboko yako Du-songo akakufanya huna hamu mkuu.
Mtani ndio mnaisaka hivooo. Haya bana kila la kheri.Match Fitness..SimbaNguvuMoja
Alisikika mlevi mmoja akisema
Gongo si nzuri aiseeWenzako wote waliofika group stages msimu uliopita wamerudi tena group stages, wewe tu umeishia preliminary stages, hii inadhihisha na kuthibitisha u underdog wako, kumbe yaliyokuwa yanasemwa kwamba mechi za home ulikuwa unacheza faulu nje ya uwanja ni kweli, sasa ukakutana na kiboko yako Du-songo akakufanya huna hamu mkuu.
Tunatafuta Chemistry kwenye kikosi na wachezaji wapate Match Fitness, zaidi ndo maana kwenye VPL ushindi ni asilimia 100% ambapo wengine wanatafsiri kuwa Simba SC inabebwa ilhali ni jitihada zetu..NguvuMojaMtani ndio mnaisaka hivooo. Haya bana kila la kheri.
Uongo Horoya wapo wapi? St Constantine ,club africain na Js soura na lobi stars hawakwenda hata hiyo hatua ya awaliWenzako wote waliofika group stages msimu uliopita wamerudi tena group stages, wewe tu umeishia preliminary stages, hii inadhihisha na kuthibitisha u underdog wako, kumbe yaliyokuwa yanasemwa kwamba mechi za home ulikuwa unacheza faulu nje ya uwanja ni kweli, sasa ukakutana na kiboko yako Du-songo akakufanya huna hamu mkuu.
Baada ya hapo mnafuzu hatua ya makundi ya ndondo cup quarter finalMabingwa wa Nchi Simba SC, Mnyama Mkali Mwituni, anatarajia kucheza michezo mitatu ya kirafiki dhidi ya Bandari FC, kutoka nchini Kenya, Mashujaa United ya Kigoma na Black Eagles FC kutoka Burundi, kabla ya kuendelea na ligi kuu ya Tanzania Vodacom Premier League VPL.
Simba SC, itaanza kucheza mchezo wake wa kwanza dhidi Bandari FC, Oktoba 12, 2019 kwenye Uwanja wa Taifa, kisha klabu ya Simba SC itaondoka kuelekea Kigoma kuwafuata Mashujaa United na kucheza nao mchezo Oktoba 14, 2019 kwenye Uwanja wa Lake Tanganyika.
Simba SC, itamaliza ziara yake ya mechi za kujipima nguvu kwa kuingia tena dimbani Oktoba 16, 2019 kupepetana na Black Eagles ya Burundi kwenye Uwanja huo huo Lake Tanganyika.
•••Usikose Ukaambiwa..Simba SC yenye kusakata kandanda safi lenye viwango wa Shirikisho la soka Afrika CAFView attachment 1226560View attachment 1226561[/b]
Watakuja mbumbumbu kupinga hiliWenzako wote waliofika group stages msimu uliopita wamerudi tena group stages, wewe tu umeishia preliminary stages, hii inadhihisha na kuthibitisha u underdog wako, kumbe yaliyokuwa yanasemwa kwamba mechi za home ulikuwa unacheza faulu nje ya uwanja ni kweli, sasa ukakutana na kiboko yako Du-songo akakufanya huna hamu mkuu.
Hawajalipwa signing fees,Gadiel,Nyoni,Chama na Mkude japo wao wana sema ni utovu wa nidhamu ila mshiko wanadaiNasikia kuna wachezaji wesimamishwa kwa utomvu wa nidhamu, vipi hujasikia hizi?