Simba SC kuelekea Derby na Yanga SC naona mnalirudia tena Kosa lile lile ambalo niliwaonya huko nyuma, tukifungwa mtatukoma Mashabiki


Aisee!
 
Mkatoliki anapohimiza ushirikina! POPOMA
 
Yale Yale KAMPA KAMPA TENA
 
Hii dunia ukisikiliza misukule unaweza kuhisi wewe pia si mkazi wa dunia hii.

Msukule kama huu na hizi stori ndio huwafanya muitwe utopolo
 
Km unaamini kuroga unapata ushindi kwa nini wagharamike kusign wachezaji wa gharama kubwa, si wangesaini tu wachezaji wa bukubuku.

Naungana na mtoa mada kwenye suala la confidentiality kwenye mazoezi ila kwenye habari ya uchawi HAPANA. Uchawi pekee ni anaofanya Mo kusign wacheza wazuri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…