Kwa ninavyoyafahamu Makolo, hadi sasa yatakuwa yamelala na miudenda kibao! Yakiamka sasa, lazima yatokee angalau Makolo Mawili Matatu ya kusema "...Simba ya sasa haitegemei gate collection"! Please, naomba uni-tag akitokea kolo wa hivyo ili hatimae nimuoneshe mwanangu hicho kichekesho!sio tu TFF hata wao mapato yatapungua
Wapeleke tu hatutishiki.Hawana jeuri hiyo hela wanatoa wapi mdhamini mwenyewe bahili,Hindi janja janja na Tapeli ndiyo maana alitekwa na kufanyiwa kitu mbaya sana.Viongozi wa klabu ya Simba SC wanafikiria kuhamishia mechi zake za kombe la shirikisho barani Afrika (CAF CC) katika uwanja wa Aman uliopo Zanzibar (kwa mechi za nyumbani)
Sent using Jamii Forums mobile app
Sheria gani? Temeona mamerodi na wengine wamecheza mechi za CAF hapa Dar... Na nchi nyingine kibao wamecheza mechi katk nchi za jirani...Kwa sheria za sasa hilo haliwezekani wasahau kabisa.
Simba ni mambumbumbu na mazuzu wa sheria wasiojua lolote na wanakurupuka Kama mavi ya asubuhi.
Inatia huruma sana kwa hawa vilaza kama NAWATAFUNA
Kwahiyo hili swala la kujenga uwanja feki ni uzushi kolo ukiyelaaniwa kutoka viungani kwa wazazi wako?Wewe ndio takataka namba moja unaeamini kila kinachoandikwa kwenye mitandao kifupi ubongo wako umejaa mavi
weka hapa hivo vifungu vya Sheria hiyoSimba ni mambumbumbu na mazuzu wa sheria wasiojua lolote na wanakurupuka Kama mavi ya asubuhi.
Inatia huruma sana kwa hawa vilaza kama NAWATAFUNA
Lengo ni kuinyima TFF ya GSM mshiko...Nikajua wanahamia Bunju...
Morison peke yake anatosha kuiwakilisha Simba mahakamaniSimba ni mambumbumbu na mazuzu wa sheria wasiojua lolote na wanakurupuka Kama mavi ya asubuhi.
Inatia huruma sana kwa hawa vilaza kama NAWATAFUNA
Sidhani kama itawezekana Simba kuama uwanja wa nyumbani kwenda Zanzibar kwa upande wa mechi za ndani. Kwasababu mashindano ya ligi kuu na Azam cup lipo chini ya TFF hivyo kwenda Zanzibar itakuwa ni ngumu kwasababu michezo haipo kwenye maswala ya muungano. Labda Simba wajisajili upya kama timu kutoka Zanzibar ili wawe chini ya shirikisho la soka Zanzibar
umejibu sahihi kabisaSidhani kama itawezekana Simba kuama uwanja wa nyumbani kwenda Zanzibar kwa upande wa mechi za ndani. Kwasababu mashindano ya ligi kuu na Azam cup lipo chini ya TFF hivyo kwenda Zanzibar itakuwa ni ngumu kwasababu michezo haipo kwenye maswala ya muungano. Labda Simba wajisajili upya kama timu kutoka Zanzibar ili wawe chini ya shirikisho la soka Zanzibar
Anaekomolewa n TFF na body ya ligi kwenye mapato , hua wanapata pesa nzuri sana kwenye hiz mechiWaende hata mombasa.
Hata wao wenyewe hawawezi kufanya hivyo kwani mapato hayatapungua TFF tu hata Simba yatapungua zanzibar siyo TanganyikaAnaekomolewa n TFF na body ya ligi kwenye mapato , hua wanapata pesa nzuri sana kwenye hiz mechi
Kubwa jinga linashiriki michuano ya kimataifa na kuwapambania viroboto nafasi nne.Lidude flani hivi kuuubwa jinga!
Kumbe nimekuumiza,,haya poleee jifute basi na kanga yako uende nyumbani kesho jioni ntakuletea zawadi ya kijora.Simba ni mambumbumbu na mazuzu wa sheria wasiojua lolote na wanakurupuka Kama mavi ya asubuhi.
Inatia huruma sana kwa hawa vilaza kama NAWATAFUNA
Mazuzu haya yanajambishwa na yenyewe yanashtuka,kila wanachokisikia yanatoa macho dah!!,mashabiki ya Uto[emoji23][emoji23][emoji23]Wewe ndio takataka namba moja unaeamini kila kinachoandikwa kwenye mitandao kifupi ubongo wako umejaa mavi
ili ucheke lazima utekenywe na mtu mwingine.Lidude flani hivi kuuubwa jinga!
Ni kweli kabisa hadi morison akatugalagaza kule CAS na wale mawakili wetu sita wakiongozwa na injinia hersiSimba ni mambumbumbu na mazuzu wa sheria wasiojua lolote na wanakurupuka Kama mavi ya asubuhi.
Inatia huruma sana kwa hawa vilaza kama NAWATAFUNA
Jidanganye waende uoneWanakomoa TFF kwenye mapato,usishangae Simba kuhamisha uwanja wake wa nyumbani Zanzibar kwa mechi za league au mechi kubwa kubwa.
Nawaza tu itakwaje Simba wakihamia league ya Zanzibar mara gafla Azam nao wakahamia Zanzibar league ya bara si itadorora?
Haya ndio unadhani matusi?Kumbe nimekuumiza,,haya poleee jifute basi na kanga yako uende nyumbani kesho jioni ntakuletea zawadi ya kijora.u