Simba SC kuhamishia mechi zake za CAF CC Zanzibar

Simba SC kuhamishia mechi zake za CAF CC Zanzibar

sio tu TFF hata wao mapato yatapungua
Kwa ninavyoyafahamu Makolo, hadi sasa yatakuwa yamelala na miudenda kibao! Yakiamka sasa, lazima yatokee angalau Makolo Mawili Matatu ya kusema "...Simba ya sasa haitegemei gate collection"! Please, naomba uni-tag akitokea kolo wa hivyo ili hatimae nimuoneshe mwanangu hicho kichekesho!
 
Viongozi wa klabu ya Simba SC wanafikiria kuhamishia mechi zake za kombe la shirikisho barani Afrika (CAF CC) katika uwanja wa Aman uliopo Zanzibar (kwa mechi za nyumbani)

Sent using Jamii Forums mobile app
Wapeleke tu hatutishiki.Hawana jeuri hiyo hela wanatoa wapi mdhamini mwenyewe bahili,Hindi janja janja na Tapeli ndiyo maana alitekwa na kufanyiwa kitu mbaya sana.
 
Kwa sheria za sasa hilo haliwezekani wasahau kabisa.
Sheria gani? Temeona mamerodi na wengine wamecheza mechi za CAF hapa Dar... Na nchi nyingine kibao wamecheza mechi katk nchi za jirani...
 
Ligi ya zanzibar main sponsor ni GSM so huko zenji logo na mabango ya GSM hayaepukiki
 
Wewe ndio takataka namba moja unaeamini kila kinachoandikwa kwenye mitandao kifupi ubongo wako umejaa mavi
Kwahiyo hili swala la kujenga uwanja feki ni uzushi kolo ukiyelaaniwa kutoka viungani kwa wazazi wako?

Nashangaa kolo unaeleza kuhusu akili yangu, maajabu sana..
 
Wote nyie hamna akili hata ya kufikiria jambo dogo kama hili

Sawa akili mmeshikiwa na Wahindi ila hata ya kufikiria masuala kama haya hamna?

Inatia shaka sana kama Taifa
 
Sidhani kama itawezekana Simba kuama uwanja wa nyumbani kwenda Zanzibar kwa upande wa mechi za ndani. Kwasababu mashindano ya ligi kuu na Azam cup lipo chini ya TFF hivyo kwenda Zanzibar itakuwa ni ngumu kwasababu michezo haipo kwenye maswala ya muungano. Labda Simba wajisajili upya kama timu kutoka Zanzibar ili wawe chini ya shirikisho la soka Zanzibar

umejibu sahihi kabisa
 
Anaekomolewa n TFF na body ya ligi kwenye mapato , hua wanapata pesa nzuri sana kwenye hiz mechi
Hata wao wenyewe hawawezi kufanya hivyo kwani mapato hayatapungua TFF tu hata Simba yatapungua zanzibar siyo Tanganyika
 
Simba ni mambumbumbu na mazuzu wa sheria wasiojua lolote na wanakurupuka Kama mavi ya asubuhi.

Inatia huruma sana kwa hawa vilaza kama NAWATAFUNA
Kumbe nimekuumiza,,haya poleee jifute basi na kanga yako uende nyumbani kesho jioni ntakuletea zawadi ya kijora.
 
Wewe ndio takataka namba moja unaeamini kila kinachoandikwa kwenye mitandao kifupi ubongo wako umejaa mavi
Mazuzu haya yanajambishwa na yenyewe yanashtuka,kila wanachokisikia yanatoa macho dah!!,mashabiki ya Uto[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Simba ni mambumbumbu na mazuzu wa sheria wasiojua lolote na wanakurupuka Kama mavi ya asubuhi.

Inatia huruma sana kwa hawa vilaza kama NAWATAFUNA
Ni kweli kabisa hadi morison akatugalagaza kule CAS na wale mawakili wetu sita wakiongozwa na injinia hersi
 
Wanakomoa TFF kwenye mapato,usishangae Simba kuhamisha uwanja wake wa nyumbani Zanzibar kwa mechi za league au mechi kubwa kubwa.

Nawaza tu itakwaje Simba wakihamia league ya Zanzibar mara gafla Azam nao wakahamia Zanzibar league ya bara si itadorora?
Jidanganye waende uone
 
Kumbe nimekuumiza,,haya poleee jifute basi na kanga yako uende nyumbani kesho jioni ntakuletea zawadi ya kijora.u
Haya ndio unadhani matusi?
Kweli makolo ni mbumbumbu kabisa.

Unajua maana ya kolo ni mtu anayefuata jambo lolote hata kama la hovyo, ndio kama wewe na wenzenu sasa..
 
Back
Top Bottom