Kwa ninavyoyafahamu Makolo, hadi sasa yatakuwa yamelala na miudenda kibao! Yakiamka sasa, lazima yatokee angalau Makolo Mawili Matatu ya kusema "...Simba ya sasa haitegemei gate collection"! Please, naomba uni-tag akitokea kolo wa hivyo ili hatimae nimuoneshe mwanangu hicho kichekesho!sio tu TFF hata wao mapato yatapungua