Simba SC kuingia na basi jipya la wachezaji leo

Kweli mdau ukiingia ndani ya ilo basi we huna tofauti na mtu aliepanda behewa la treni la economy mamaeee lipo ovyo mno halina mvuto hata kidogo...........
 
Ninachojiuliza yaani simba haijafikia hatua ya kuagiza basi huko kiwandani wakapigiwa rangi wanayotaka hadi wasubiri kuja kubandika stika?
Tata hawapigi stika kama michina....
 
Hahaha ww tata huiju angalia documentary za nepal huko kuna milima hiyo yutong utaitupa ila tata inatoboa hilo ni gari mkuuu usikalilishwe.
Hahahahaha yutong mayai zile likifika miaka mitano tu halifai kulitazama ni kilimanjaro tu ndio kaitunza haswa ile yutong yake....katunzaje tunzaje mie sijui
 
Tata Inaenda Popote, Kuna Tata zinaenda km 500+ daily (Dar - Malinyi)
 
Tata bus ni expensive kuliko yutong ya nchina....

Na hata kwa ukumbwa kampuni ya Tata ni kampuni kubwa ya magari kuliko kampuni ya yutong
Tatizo unaongea kama umekatika kichwa... tangu lini Tata ikawa bora kuliko yutong.... yutong model gani kwanza unayoiongelea hapa ya kuifanyananisha na hio tata [emoji1]

Mo kafail sana kashindwa kuwachukulia bus luxury na nzuri kama benz,Scania,zhongtong,dragon au hata yutong 12 plus upgrade zimetoka mayai kabisa

Kwa taarifa yako hio tata ukitoa body lililosukwa na marcopolo vilivyobakia ni matatizo makubwa
 
Niwatoe hofu tata wana gari za kila kiwango kulingana na bajeti yako.

Turudi kwenye biashara katika sports industry: Simba ni brand kubwa sana tz na nje kwasasa, tata wanabranch nyingi tz mpaka mikoani.

Nategemea kuwa simba wameingia mkataba na tata ili kuitangaza tata, na hilo basi simba wamepewa ili watangaze aina hiyo ya mabasi nchini. Kwahiyo simba amepewa fedha na basi. Nikisikia basi limenunuliwa basi nitaendelea kuamini kuna watu wananufaika nyuma ya pazia.

Mfano Manchester United ilipoingia mkataba na audi kila mchezaji alipewa gari aina ya audi na fedha kwa timu.
 
Siku nyingine uje na maelezo ya namna wanachama na mashabiki wa club huwa wananufaikaje na club yao na utoe mfano no club ipi huwa inawagawia wanachama wao pesa, nyie kwa Yanga mshapokea sh. ngapi?
 
Hizo Tata MAGNA zipo zimeshafeli kitambo sana hapo hakuna gari mkuu ni bora wangenunua hata asiastar kwa safari za wiki wiki linawafaa kuliko hio bajaji
 
We ambaye ni mwananchi unaingiza kiasi gani kwa mwezi kwenye klabu yako ya utopolo?
 

Yani wewe jamaa bora ungenyamaza tu ili kuficha ulichokidhihirisha hapa.
Kama unataka kuwajua TATA ni nani hebu kaangalie Magari ya Jeshi.
Acha kuifananisha TATA na upuuzi wa YUTONG.
 

Eti Siti zake ni mbaya! Chura bhana! Kwahiyo IST ni bora kuliko NISSAN PATROL kwasababu tu Siti za IST ni Nzuri kuliko za NISSAN PATROL?
 
Reactions: PNC
Halafu nasikia dereva kaletwa kutoka South Africa kuendesha wachezaji
 
Halafu ndani lina kelele kama mashine ya Kusaga au powerteller
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…