ze-dudu
JF-Expert Member
- Jul 26, 2014
- 17,640
- 22,748
Kweli mdau ukiingia ndani ya ilo basi we huna tofauti na mtu aliepanda behewa la treni la economy mamaeee lipo ovyo mno halina mvuto hata kidogo...........Zile Yutong zilitolewa na Wadhamini wa Bia ya Kilimanjaro na soyo Sportpesa! Sportpesa waliweka tu chata zao baada ya Kilimanjaro kumaliza mkataba na hizo timu mbili kongwe nchini.
By the way, hao TATA wana siti za hovyo sana ukilinganisha na Yutong. Siti kama madawati ya primary!!