Simba SC kukipiga na CSKA Moscow

Ona mmeshamuhusisha Karia.
 
CSK Moscow ya Kakonko
 
CSK Moscow watatupa mbinu za kuwakabiri Yanga SC na kuwashinda maana tuna mechi 6 dhidi yao hatujawafunga.

Hongera kwa viongozi wetu.
Wewe Simba ilishaondoka kuwaza mechi na Yanga kitambo sana amka ndotoni....
 
Nonsense
 
Sasa ukiwauliza huko Dubai wameenda kwenye Pre season, au!! Ila hii timu aisee!! [emoji848]

Yaani inaendeshwa kama kilabu cha pombe za kienyeji!!

Ombaomba na mawazo ya kimaskini itawaua roho mbaya
 
Utajuaje maana ya hiyo safari kama haupo CL? Uto bakini hapa hapa ndiyo levels zenu muendelee kugombana na Feisal mkisaidiwa na kina Mgongolwa
Si mlimtanguliza huko Dubai, illi mwisho wa siku muwakere Yanga!! Haya mumtambulishe sasa!
 
Abu Dhabi ya niokooo
 
CSK Moscow watatupa mbinu za kuwakabiri Yanga SC na kuwashinda maana tuna mechi 6 dhidi yao hatujawafunga.

Hongera kwa viongozi wetu.
Tafuta mume uolewe acha kuishi kwa shemeji
 
Hakuna bodi ya ligi kaa kwa kutulia
 
Hakuna Kinondoni Moscow BALI kuna Kindoni Mosque
 
Ila CAF wanacheza kombe la looser!!

Sent from my Infinix X612 using JamiiForums mobile app

Looser ndiyo mdudu gani! Unajua maana ya looser wewe! Loose ni kulegeza iwe kamba au kitu chochote kilichojikaza, sasa looser nijibu ni nini? Kwa nini nchi hii hata maneno ya kawaida yanakuwa ni shida kwa vijana wengi kuandika spelling zake kwa maana ambayo ni potofu? Niambie tofauti ya Looser na Loser kwa kukusaidia!
 
CSK Moscow watatupa mbinu za kuwakabiri Yanga SC na kuwashinda maana tuna mechi 6 dhidi yao hatujawafunga.
Hongera kwa viongozi wetu.
Hivi utopolo si mlisema mna mkataba na La Liga, mbona hatuioni hata Valladolid ikija bongo ?
 
basi turudi kwenye naudhui
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…