permanides
JF-Expert Member
- May 18, 2013
- 11,682
- 14,241
Wanajipima nguvu na Mbuni Fc ila ndio wanaoongoza ligi. Wazururaji wamekomaa hawana mpinzani katika nafasi ya pili.Simba timu kubwa yenye mipango inayoeleweka... siyo kama wale jamaa wanajipima na timu kama Mbuni FC uwani kwao Kigamboni.
Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app