Simba SC kukipiga na CSKA Moscow

Simba SC kukipiga na CSKA Moscow

FIFA imezifungia klabu zote na timu ya taifa ya Urusi kushiriki michezo yoyote ya kimataifa ya mashindano au ya kirafiki kwa hiyo labda wanacheza na timu ya Kinondoni Moscow.Ikibainika Simba imecheza na timu kutoka Urusi TFF na Simba zitachukuliwa hatua kali sana na FIFA iKIwemo kufungiwa au faini.
Hizo ni timu za mataifa tofauti tofauti watakazocheza nazo.
20230111_010826.jpg
 
FIFA imezifungia klabu zote na timu ya taifa ya Urusi kushiriki michezo yoyote ya kimataifa ya mashindano au ya kirafiki kwa hiyo labda wanacheza na timu ya Kinondoni Moscow.Ikibainika Simba imecheza na timu kutoka Urusi TFF na Simba zitachukuliwa hatua kali sana na FIFA iKIwemo kufungiwa au faini.
TFF haiwezi kukubali ifungiwe, hao simba ndo watashushwa madaraja mawili wakacheze hizo ndondo Cup vizuri
 
FIFA imezifungia klabu zote na timu ya taifa ya Urusi kushiriki michezo yoyote ya kimataifa ya mashindano au ya kirafiki kwa hiyo labda wanacheza na timu ya Kinondoni Moscow.Ikibainika Simba imecheza na timu kutoka Urusi TFF na Simba zitachukuliwa hatua kali sana na FIFA iKIwemo kufungiwa au faini.

Kinondoni Mosique, sio Kinondoni Moscow.
 
Mmgh hiyo team ya akina Putin si-imefungiwa mechi za kinataifa na Kirafiki?

Hii imekaaje kidiplomasia? Wajuvi wa masuala ya kimataifa njooni hapa!
 
Mi mwenyewe sijajua na Club mpaka saizi sijaona taarifa rasmi ya wapi tunaweza kuiona hii mechi

Au ndio tutakuwa tunapewa update ya gizani
Azam hawawezi kufanya kama kipindi kile Sudan..ngoja tusubiri
 
Hakuna dalili ya mechi kuoneshwa. Subiri tu matokeo na subiri kuiangalia live timu yako tarehe 18 kwenye mechi dhidi ya Mbeya city
 
Naona Azam ni miongoni mwa wadhamini..uwezekano wa kuionyesha ni mkubwa
Azam mechi kama anaonesha huwa lazima aiweke kwenye ukurasa wao na kuitangaza. Hapo wamekaa kama wadhamini ila mechi hawaoneshi. Rejea preseason ya Misri, Azam tv waliwekwa kama tu wadhamini ila hakuna mechi iliyooneshwa
IMG_20230113_121343.jpg
 
  • Thanks
Reactions: BRN
Azam hawawezi kufanya kama kipindi kile Sudan..ngoja tusubiri
Aah sio rahisi nadhani labda kama media za huko ziamue kufanya broadcast afu sisi tupewe tu taarifa kuwa channel gani au sehemu gani tutakayoweza kucheki
 
Back
Top Bottom