Lupweko
JF-Expert Member
- Mar 26, 2009
- 23,566
- 24,891
Muulize Kapombe, mpigie kwa whatsappSasa ukiwauliza huko Dubai wameenda kwenye Pre season, au!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Muulize Kapombe, mpigie kwa whatsappSasa ukiwauliza huko Dubai wameenda kwenye Pre season, au!!
Hizo ni timu za mataifa tofauti tofauti watakazocheza nazo.FIFA imezifungia klabu zote na timu ya taifa ya Urusi kushiriki michezo yoyote ya kimataifa ya mashindano au ya kirafiki kwa hiyo labda wanacheza na timu ya Kinondoni Moscow.Ikibainika Simba imecheza na timu kutoka Urusi TFF na Simba zitachukuliwa hatua kali sana na FIFA iKIwemo kufungiwa au faini.
TFF haiwezi kukubali ifungiwe, hao simba ndo watashushwa madaraja mawili wakacheze hizo ndondo Cup vizuriFIFA imezifungia klabu zote na timu ya taifa ya Urusi kushiriki michezo yoyote ya kimataifa ya mashindano au ya kirafiki kwa hiyo labda wanacheza na timu ya Kinondoni Moscow.Ikibainika Simba imecheza na timu kutoka Urusi TFF na Simba zitachukuliwa hatua kali sana na FIFA iKIwemo kufungiwa au faini.
Ligi yao haitambuliwi na chama cha soka ulaya pamoja na FIFA!Kwenye ligi yao wapo nafasi ya ngapi hao
FIFA imezifungia klabu zote na timu ya taifa ya Urusi kushiriki michezo yoyote ya kimataifa ya mashindano au ya kirafiki kwa hiyo labda wanacheza na timu ya Kinondoni Moscow.Ikibainika Simba imecheza na timu kutoka Urusi TFF na Simba zitachukuliwa hatua kali sana na FIFA iKIwemo kufungiwa au faini.
Baada ya kujipima na mbuni wakaichapa simba 2 ngao ya jamiiSimba timu kubwa yenye mipango inayoeleweka... siyo kama wale jamaa wanajipima na timu kama Mbuni FC uwani kwao Kigamboni.
Nawaelekeza TFF wasogeze mbele mechi ya Mbeya. Nawaelekeza kama Mwakilishi wa Kweli wa Kimataifa
Nimecheka sana..Nawaelekeza TFF wasogeze mbele mechi ya Mbeya. Nawaelekeza kama Mwakilishi wa Kweli wa Kimataifa
Mi mwenyewe sijajua na Club mpaka saizi sijaona taarifa rasmi ya wapi tunaweza kuiona hii mechi
Azam hawawezi kufanya kama kipindi kile Sudan..ngoja tusubiriMi mwenyewe sijajua na Club mpaka saizi sijaona taarifa rasmi ya wapi tunaweza kuiona hii mechi
Au ndio tutakuwa tunapewa update ya gizani
Azam hawawezi kufanya kama kipindi kile Sudan..ngoja tusubiri
Naona Azam ni miongoni mwa wadhamini..uwezekano wa kuionyesha ni mkubwa
Hakuna dalili ya mechi kuoneshwa. Subiri tu matokeo na subiri kuiangalia live timu yako tarehe 18 kwenye mechi dhidi ya Mbeya cityMi mwenyewe sijajua na Club mpaka saizi sijaona taarifa rasmi ya wapi tunaweza kuiona hii mechi
Au ndio tutakuwa tunapewa update ya gizani
Azam mechi kama anaonesha huwa lazima aiweke kwenye ukurasa wao na kuitangaza. Hapo wamekaa kama wadhamini ila mechi hawaoneshi. Rejea preseason ya Misri, Azam tv waliwekwa kama tu wadhamini ila hakuna mechi iliyooneshwaNaona Azam ni miongoni mwa wadhamini..uwezekano wa kuionyesha ni mkubwa
Aah sio rahisi nadhani labda kama media za huko ziamue kufanya broadcast afu sisi tupewe tu taarifa kuwa channel gani au sehemu gani tutakayoweza kuchekiAzam hawawezi kufanya kama kipindi kile Sudan..ngoja tusubiri
Ngoja tuoneHakuna dalili ya mechi kuoneshwa. Subiri tu matokeo na subiri kuiangalia live timu yako tarehe 18 kwenye mechi dhidi ya Mbeya city